Hakika ndugu yangu, Leo hii tunabaguana Hadi kwenye mazishi kisa Huyu Mkristo na huyu Mwislam! Pumbavu kabisa! Huwa najiuliza, Ina maana Wachina, Wahindu, Wakorea na wengine hao wataenda wapi? Hivi wale wazee wetu walikufa kabla ya Ukristo na Uislam kuja wao wataenda wapi? Anyway tutende mema ndio Dini ya kweli, usidhulumu Wala usiibe. The rest ni ubatili