Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

Kwenye mpira kuna kupanda na kushuka mfano mzuri ni Kibu leo hii ni Drogba mtupu kasoro jezi tu ndio ya Kidundukaz..
Ulikuwa wapi kuyasema haya siku ulipoamzishwa huu uzi, ukasubiri mpaka afunge uje kumtetea?
 
makolo mtaumia sana roho msimu huu dogo Mzize anachukua tuzo yake
 
I have being watching him in several matches, factors hidering his performance
. Poor positioning
. too heavy (mzito)
. Poor Football intelligence ( he needs to attend class again )

How to improve
. He should switch the numbers
. Improve the runs
. He should be loan to a different club for further development

Whats your say on this young African player?
Alivyobadili tu tayari....
 
Kwa mujibu wa wachambuzi wa Cloud FM na Wasfi FM jana tarehe4.5.2023 saa moja na saa 3. Wote wamehitimisha kuwa Mzize ni mchezaji bora na hazina kwa Taifa la TZ. Kama kuna wachambuzi mahiri wa redio zaidi ya hizi naomba maoni hapa na reference nikasikilize na kusoma.
Wachambuzi wa redio TV b
na magazeti ndio wataalamu wanaotoa dira ya mpira wa TZ.
Wewe mtoa nada unayo CV ya kutosha kuweza kufanya critical analydis au ni mihemko yako.
Emotionsl intelligence vs rational intelligence.
 
This is not emotional intelligence, we all watch ball. Wachambuzi what do they have??! do they have uefa class manager licences. Or they all watch ball like me and evaluate the play. Mzize is pathetic of a striker. He needs a massive improvement.
Call a spade a spade not a big spoon.
 
I have being watching him in several matches, factors hidering his performance
. Poor positioning
. too heavy (mzito)
. Poor Football intelligence ( he needs to attend class again )

How to improve
. He should switch the numbers
. Improve the runs
. He should be loan to a different club for further development

Whats your say on this young African player?u
Kwanza hatuna mchezaji anaeitwa clement tuna Walid mzize huyu alikua mfungaji bora under 20 kocha Naby kamuona ana takent kubwa mwili unaruhusu huyu ni mshambuliaji wa taifa hapo baadae sasa we unaetoka mbwinde hujasoma ukocha unakosoa kwa kuwa unazo data ktk simu unadhani mpira ni rede hujui kitu kaa kimya kijana anakuja vizuri kamzidi magoli hata huyo boko wenu kenge nyie
 
This is not emotional intelligence, we all watch ball. Wachambuzi what do they have??! do they have uefa class manager licences. Or they all watch ball like me and evaluate the play. Mzize is pathetic of a striker. He needs a massive improvement.
Call a spade a spade not a big spoon.
Hiyo leseni ya kununua usitishe watu na English ukadhani ndo usomi kuna watu wapo zambia ndaani hawaijui shule wanabonga English kuliko wewe una matege ya akili huwezi kumuona mzize kuwa ni striker mpaka aje aku strike huko mgongoni kwa nyuma
 
kwani ungetumia kiswahili kueleza suala hili la mchezaji wa vyura fc ungepungukiwa nn zaidi umetupa shida tu wasomaji na kiingereza chako cha kuunga unga
i have being ndo upuuzi gani huu??

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Hiyo leseni ya kununua usitishe watu na English ukadhani ndo usomi kuna watu wapo zambia ndaani hawaijui shule wanabonga English kuliko wewe una matege ya akili huwezi kumuona mzize kuwa ni striker mpaka aje aku strike huko mgongoni kwa nyuma
It's English or nothing,
 
Clement mzize tena leo 😂😂😂, dogo ni positioning tu. Ina sumbua na kuwa critical sema. Naona atafunga in a very important match
 
Anapambana sana ana fighting spirit
Anauwezo wa ku defend na kushambulia , aliwapa wakati mgumu Marumo Hata ushambuliaji wao ulipungua
 
Back
Top Bottom