Cleo Wilskut, Binti wa Miaka 20 anayetarajiwa kuwakilisha Vijana Bungeni Afrika Kusini

Cleo Wilskut, Binti wa Miaka 20 anayetarajiwa kuwakilisha Vijana Bungeni Afrika Kusini

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Mfahamu CleoWilskut, Binti wa miaka 20 anayeanza Safari ya kuwawakilisha Vijana Bungeni, Afrika Kusini

Je, Tanzania inawezaje kuongeza Ushiriki wa Vijana kwenye Masuala ya Uongozi/Demokrasia?
 
Mimi nadhani serikali inapaswa kuweka mkakati wa kuwashinikiza vijana kujihusisha kwenye siasa kwa kuondokana na mawazo yasiyo sahihi kwamba siasa ni kwaajili ya wazee. Lakini pia kuwepo kwa uwazi na uwajibikaji kwa tume huru ya uchaguzi ikiwezekana waweke vipaumbele zaidi kwa vijana wenye Nia ya kugombea
 
Nafikiri hili ndilo suala nililozungumzia katika stories of change andiko lenye kichwa vijana wakalie viti
 
Back
Top Bottom