Mimi nadhani serikali inapaswa kuweka mkakati wa kuwashinikiza vijana kujihusisha kwenye siasa kwa kuondokana na mawazo yasiyo sahihi kwamba siasa ni kwaajili ya wazee. Lakini pia kuwepo kwa uwazi na uwajibikaji kwa tume huru ya uchaguzi ikiwezekana waweke vipaumbele zaidi kwa vijana wenye Nia ya kugombea