kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
- #41
Ile chai mnayozalisha na kuweza kulisha dunia nzima yenye watu zaidi ya 8B, vipi mnashindwa kuzalisha chakula cha watu 45M?, Hamna akili ninyi mumezoea kuombaomba, Ndio sababu ombaomba wanakuja huko kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tungekuwa na ardhi inatoshana na yenu, tungeweza kupanda chai na pia chakula. Sio tu chakula cha watu 45m, lakini chakula cha dunia nzima.