Climate Map: Only a Small Part of Kenya is Suitable for Agriculture, But We Produce More Food than Tanzania

Ile chai mnayozalisha na kuweza kulisha dunia nzima yenye watu zaidi ya 8B, vipi mnashindwa kuzalisha chakula cha watu 45M?, Hamna akili ninyi mumezoea kuombaomba, Ndio sababu ombaomba wanakuja huko kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tungekuwa na ardhi inatoshana na yenu, tungeweza kupanda chai na pia chakula. Sio tu chakula cha watu 45m, lakini chakula cha dunia nzima.
 
We (the "we" means our countries in East Africa) are facing the same problem. Kenya maybe well advanced in farming (technology and business wise) but at the end of the day it is those chaps from the UK who really pull strings. I would prefer if we were stealing from each other and investing the loot within the region.

Those "chaps from UK'' only own a few tea farms in Kericho for export.
I've never seen a chap from UK planting rice, onions, potatoes... basically the food 99.9999% of Kenyans eat.
 
And 50% of ur food comes from Tanzania!

Usual cooking of data. I've never seen anything from Tanzania in my life in Kenya. All your food export terminate at Namanga.
But other than that, I know for a fact that your supermarkets are filled up with row after row of Kenyan products. I've been there, I've seen them.
 
Mara kwa Mara tunasikia kuwa mpo na shortage ya chakula afu unasema mnaproduce zaidi ya Tanzania, are you Kenyans retarded or what??? Mnakuwa kama wanawake wa kiswahili.

Au Maua siku hizi nayo ni Chakula siku hizi ???

Sent using Jamii Forums mobile app

You are the one who is retarded.
2018 Global Hunger Index (and all hunger indexes before that) show that Kenya is more food secure than Tanzania.
Tanzania - 29.5
Kenya - 23.2
(The lower the better)
2018 Global Hunger Index Results - Global, Regional, and National Trends - Global Hunger Index - Official Website of the Peer-Reviewed Publication

Sababu ya kuskia habari za njaa kutoka Kenya ni kwa sababu media yetu haijafinywa makende na rais dikteta.

hunger1.JPG
 
Mara kwa Mara tunasikia kuwa mpo na shortage ya chakula afu unasema mnaproduce zaidi ya Tanzania, are you Kenyans retarded or what??? Mnakuwa kama wanawake wa kiswahili.

Au Maua siku hizi nayo ni Chakula siku hizi ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuanga na shortage kwasababu tunatumia chakula kingi .....
Kwa mfano average consumption ya mahindi per person Kenya currently stands at 103 kg/person/year, compared to 73 kg for Tanzania, 31 kg for Uganda 6 and 14.1kg for Rwanda 7kg.

Kwahivyo Tz inazalisha mahindi zaidi lakini mnakula kidogo compared to Kenya ndo maana mnabaki na ya kuuzia jirani kama ingekua mnakula Sawa na Kenya at 103kg per person per year ingekua mnakua na shortage kama Sisi wakati wa kiangazi...
 
Duh😄😄 washikaji mnakula
 
True.
The richer the country the more the food consumption.
 
Tungekuwa na ardhi inatoshana na yenu, tungeweza kupanda chai na pia chakula. Sio tu chakula cha watu 45m, lakini chakula cha dunia nzima.
Swali ni kwamba kama mumeweza kuzalisha chai ya dunia nzima bila kulalamikia upungufu wa ardhi,kwanini katika uzalishaji wa chakula mnatoa sababu za kijinga?.
Kwahiyo Kati ya chakula, maua na chai, kwenu mliona bora mzalishe chai na maua kwanza, then chakula mtegemee cha kupewa msaada kwasababu hiyo chai na maua havina uwezo wa kuwapa pesa ya kununua chakula. Hamna akili ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie na Israeli ni kina nani wanardhi bora ya kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app

Israel ni nchi tajiri na developed. Nchi ya watu milioni nane pekee.
Lakini Kenya ambayo ni nchi developing, ambayo ni jangwa, bado inaproduce mingi kuliko bongolala.
Kama Tanzania ingekuwa jangwa kama Kenya, hakungekuwa na tofauti yenu na Somalia ama Yemen.
 
Swali ni kwamba kama mumeweza kuzalisha chai ya dunia nzima bila kulalamikia upungufu wa ardhi,kwanini katika uzalishaji wa chakula mnatoa sababu za kijinga?.
Kwahiyo Kati ya chakula, maua na chai, kwenu mliona bora mzalishe chai na maua kwanza, then chakula mtegemee cha kupewa msaada kwasababu hiyo chai na maua havina uwezo wa kuwapa pesa ya kununua chakula. Hamna akili ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sababu za kijinga ni zile naskia kutoka kwenu wana bongolala.
Kenya ambayo 95% ni jangwa, inajilisha 99%, alafu 0.1% tunanunua Tanzania.
Kenya imerankiwa more food secure kuliko Tanzania.
Consumption yetu ya mahindi, beef, maziwa etc. iko juu kuliko Tanzania

Swali kubwa ni nini shida yenu Tanzania? Hizo acre zote za ardhi mnafanyia nini nazo?
 
Vipi kuhusu Libya na Somalia acheni kutafuta sympathy eti npo jangwani?

Na nchi za kiarabu mtasema zipo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni kwamba kama mumeweza kuzalisha chai ya dunia nzima bila kulalamikia upungufu wa ardhi,kwanini katika uzalishaji wa chakula mnatoa sababu za kijinga?.
Kwahiyo Kati ya chakula, maua na chai, kwenu mliona bora mzalishe chai na maua kwanza, then chakula mtegemee cha kupewa msaada kwasababu hiyo chai na maua havina uwezo wa kuwapa pesa ya kununua chakula. Hamna akili ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti saizi Kenya nao wanajiona wapi jangwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakuanga na shortage kwasababu tunatumia chakula kingi .....
Kwa mfano average consumption ya mahindi per person Kenya currently stands at 103 kg/person/year, compared to 73 kg for Tanzania, 31 kg for Uganda 6 and 14.1kg for Rwanda 7kg.

Kwahivyo Tz inazalisha mahindi zaidi lakini mnakula kidogo compared to Kenya ndo maana mnabaki na ya kuuzia jirani kama ingekua mnakula Sawa na Kenya at 103kg per person per year ingekua mnakua na shortage kama Sisi wakati wa kiangazi...
Hii hoja nyepesi sana.. kwani mahindi ndiyo chakula peke yake. Sasa kama tuna options nyingi kwa nini tukomae na ma ugali! Kenya kuna watu wengi wana kula ugali mchana na usiku. Tz ni ngumu sana kusikia mtu ana kula ugali usiku, mkoa naotoka mimi ugali ni chakula cha kipindi cha shida, mzee wangu yeye ugali haushuki kabisa. Kingine nyinyi mna penda githeri ambayo ni maindi matupu, inshort mazingira yenu yamewabana mle sana mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu za kijinga ni zile naskia kutoka kwenu wana bongolala.
Kenya ambayo 95% ni jangwa, inajilisha 99%, alafu 0.1% tunanunua Tanzania.
Kenya imerankiwa more food secure kuliko Tanzania.
Consumption yetu ya mahindi, beef, maziwa etc. iko juu kuliko Tanzania

Swali kubwa ni nini shida yenu Tanzania? Hizo acre zote za ardhi mnafanyia nini nazo?
Kikuyus MOCK Uhuru for Receiving Food Donations from Desert Country Emirates Yet Jubilee STOLE Money for Galana Irrigation Project

Hahaha eti mnajilisha 99%, kama mngeweza kujilisha msengewekwa katika kundi la failed states, sawa na South Sudan, Yemen, Somalia na Afghanistan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnauza kahawa nyingi nje kuzidi kilimo chenu
Hapo takwimu zinapishana kwa sababu ni za Bukoba
Bidhaa nyingi zinaingia kwa njia za panya kwenu na wengi ni wanunuzi haramu kwa mazao mengi
Acheni kujitapa wakati mnatutegemea la sivyo tukidhibiti mtaendelea kufa na njaa,
Ni undugu tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
90% ya ardhi ya Kenya haiwezi fanyiwa ukulima. Kwa hivyo kunatarajiwa kutakuwa na njaa mahali pengine.
Lakini Tanzania 95% ya ardhi inaweza fanyiwa ukulima. Lakini bado kuna njaa huko.
Nani alimroga?

Ahaaa haaa haaa
ARDHI YENYU si mliuza kwa kina LORD Dalamare, kina Kenyatta na wengine?
 
Usual cooking of data. I've never seen anything from Tanzania in my life in Kenya. All your food export terminate at Namanga.
But other than that, I know for a fact that your supermarkets are filled up with row after row of Kenyan products. I've been there, I've seen them.
I shitted today in the morning cause of food that came from Tanzania!
 
Back
Top Bottom