Climate Map: Only a Small Part of Kenya is Suitable for Agriculture, But We Produce More Food than Tanzania

Hii hoja nyepesi sana.. kwani mahindi ndiyo chakula peke yake. Sasa kama tuna options nyingi kwa nini tukomae na ma ugali! Kenya kuna watu wengi wana kula ugali mchana na usiku. Tz ni ngumu sana kusikia mtu ana kula ugali usiku, mkoa naotoka mimi ugali ni chakula cha kipindi cha shida, mzee wangu yeye ugali haushuki kabisa. Kingine nyinyi mna penda githeri ambayo ni maindi matupu, inshort mazingira yenu yamewabana mle sana mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu , wakenya wwanapenda ugali, wawe wanapesa au hawana, kama kweli mko na opions nyingi inakuaje Tanzania ni ya tatu africa (Baada ya DRC na Ethiopia) kuongoza kwa watoto walio na ulemavu wa kua -Stunted growth. Stunded growth inasababishwa na lack of balanced diet au lack of enough food.

To change the Stunting situation currently 42 per cent of under five children, and is only a two percentage points lower than it was five years ago. Slow down the burden of stunting in Tanzania which ranks third in Sub-Saharan Africa, after Ethiopia and the Democratic Republic of Congo. Changemakers - Creating Shared Value Prize - Community Wellbeing and Sustainable Livelihoods-Nutrition
Homepage | UNICEF United Republic of Tanzania

Tanzania mnacho tushindia ni mchele manake nyi waswahili wengi mnapenda wali lakini vyakula vyengine tunawashinda..

Kwa mfano ngano ambayo hutumika kutengeneza supageti/pasta, mkate, chapati, keki, Kenya inaconsume 2.3 million tonnes kwa mwaka, Tanzania ni 1.1 million....
Tanzania, United Republic Of Wheat Domestic Consumption by Year (1000 MT)
Kenya Wheat Domestic Consumption by Year (1000 MT)

Ikija kwa maziwa kenya inaproduce liter billion 5.5 wakati Tz inaproduce 2 billion.... Kenya mtu mmoja anakunywa wastani ya lita 120 ya maziwa kwa mwaka wakati Tz ni lita 47 kwa mwaka....

While milk production in Kenya stands at 5.5 billion litres annually, in Tanzania it stands at two billion litres and in Uganda 2.2 billion litres.
Tanzania has one of the lowest per capita milk consumption rates at 47 litres per annum compared with 120 litres per annum in Kenya and 54 litres in Uganda.
East Africa dairy sector at stake

alafu watu maskini hua hawatumii Sukari sana, ukiangalia Kenya ina produce 377,126 tonnes of sugar per year but consumes 870,000 tonnes of sugar Kenya sugar output to rise 19 pct in 2018 on good rainfall | Reuters
While Tanzania produces 300,000t and consumes 590,000 tonnes
Sugar - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest

--------
Kwahivyo hii hoja si nyepesi kabisa! Unafaa ujiulize kwanini licha ya Kenya kua na uhalifu, ugaidi, ukame...n.k inakuaje mkenya wa kawaida anaishi miaka mingi kuliko mtanzania wa kawaida
 
I've heard many times on this forum that Tanzania ''feeds us''. But everyone knows Kenya's food imports from Tanzania account for something like 0.1% of Kenya's food demand.

I've seen this climate map of East Africa, and I can make a few observations.

1. Tanzanians are super lazy.
2. Kenyans are quite hard working.
3. Kenya has like one hundredth the suitable agricultural land as Tanzania, but is ranked as more food secure.
4. Using the ratio of areas suitable for farming, Kenya would be producing enough food for Africa and the Middle East if it was the size of Tanzania.
5. Also considering that Kenya only got 6% of Lake Victoria vs Tanzania's 51%, only God knows what we would achieve with all that.

View attachment 1038826

Food security per country

View attachment 1038827
But we produce more people than you.
 
Ahaaa haaa haaa
ARDHI YENYU si mliuza kwa kina LORD Dalamare, kina Kenyatta na wengine?

Still shooting yourself on the foot.
Baada ya kuuza, Kenya bado inazalisha chakula kingi kuliko Tanzania.
We're more food secure.
Our consumption is more.

Kumaanisha kama 'hatungeuza', tungekuwa tunazalisha aje?
 
Mashamba mmeuza, guess what next to be auctioned!!? The jkia will be the next.
 
Only maize.
Beans, rice, onions, tomatoes, bananas, cassava, potatoes, mangos, pineapples, avocados, oranges u name it! Even beef! Tanzania lead EA in rice, cassava n fruits production! Kenya beats us in Khat n tea production only. BTW tea production in Southern Highlands is growing. It's a matter of time before we r one of the largest growers. Especially after quiting bureaucratic Mombasa auction.

Tanzania banana research centre to improve yields

Trade war: Kenya bans importation of rice from Tanzania
 
Africa: Beans Galore As Dar Exports Feed 10 Countries

Hahaha, Tanzania feeds other Ten countries apart from Kenya. 50% of legumes is from Tanzania.

Ironically kenya leads on tea production, but can't feed itself, if you claim that your climate is semi desert, where do you cultivate black tea?. The truth of the matter is, capitalism placed fertile land in the hands of capitalists and Kenyatta family, they only cultivate tea and flowers.

Sent using Jamii Forums mobile app
waah usiniambie huoni sense in that, we'd rather make money from tea and buy your cheap food

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe you should put figures - production figures - and we can compare. Kenya export horticulture goods worth nearly 2B dollars now - leave alone what it consumes.

Let start with Maize. 2018 - Kenya 46 million bags - we normally produce anything 35-40M bags. Tanzania?

Beans, rice, onions, tomatoes, bananas, cassava, potatoes, mangos, pineapples, avocados, oranges u name it! Even beef! Tanzania lead EA in rice, cassava n fruits production! Kenya beats us in Khat n tea production only. BTW tea production in Southern Highlands is growing. It's a matter of time before we r one of the largest growers. Especially after quiting bureaucratic Mombasa auction.

Tanzania banana research centre to improve yields

Trade war: Kenya bans importation of rice from Tanzania
 
Maybe you should put figures - production figures - and we can compare. Kenya export horticulture goods worth nearly 2B dollars now - leave alone what it consumes.

Let start with Maize. 2018 - Kenya 46 million bags - we normally produce anything 35-40M bags. Tanzania?
Hahahahahah, lete statistics ya miaka mitano nyuma tuone trend ya uzalishaji Kati ya KE na TZ, Sio unaleta screenshot ya mwaka mmoja ambao mavuno yalikua mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I going to use FAO data - 2017 - that is when there was drought in Kenya - and electioneering that last nearly the whole year - that is bad as year as it gets.
Hahahahahah, lete statistics ya miaka mitano nyuma tuone trend ya uzalishaji Kati ya KE na TZ, Sio unaleta screenshot ya mwaka mmoja ambao mavuno yalikua mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikilize rais wako anakiri hamuwezi kujilisha mnategemea Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah!! huyu jamaa nchi imemshinda. Analalamika tu, hana solutions! watu wanaiba pesa, miradi haitekelezwi, migomo ya wafanyakazi kila siku, Miradi aliyo anzisha hailipi, madeni yame mlemea, wazungu wamemuona kituko kwa kugonga hodi sana, Miradi mikubwa na mataifa jirani imeyayukia Tz. Mpaka anatia huruma, surely he is not cut for this job. Hili ni tatizo la kupiga kula kwa kuangalia ukanda badala ya uwezo, huyu ilibidi aishie kusimami miradi ya familia yake.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Beans, rice, onions, tomatoes, bananas, cassava, potatoes, mangos, pineapples, avocados, oranges u name it! Even beef! Tanzania lead EA in rice, cassava n fruits production! Kenya beats us in Khat n tea production only. BTW tea production in Southern Highlands is growing. It's a matter of time before we r one of the largest growers. Especially after quiting bureaucratic Mombasa auction.

Tanzania banana research centre to improve yields

Trade war: Kenya bans importation of rice from Tanzania

Punguza bangi.
You have no shame including even pineapples. I'm sure Del Monte alone produces more pineapples in their one farm every year than you produce every 10 years.

Here is a brief list of foodstuff Kenya produces more than you.
Ukitaka comprehensive list, itisha.

tz.JPG
 
Hamna kitu , wakenya wwanapenda ugali, wawe wanapesa au hawana, kama kweli mko na opions nyingi inakuaje Tanzania ni ya tatu africa (Baada ya DRC na Ethiopia) kuongoza kwa watoto walio na ulemavu wa kua -Stunted growth. Stunded growth inasababishwa na lack of balanced diet au lack of enough food.

To change the Stunting situation currently 42 per cent of under five children, and is only a two percentage points lower than it was five years ago. Slow down the burden of stunting in Tanzania which ranks third in Sub-Saharan Africa, after Ethiopia and the Democratic Republic of Congo. Changemakers - Creating Shared Value Prize - Community Wellbeing and Sustainable Livelihoods-Nutrition
Homepage | UNICEF United Republic of Tanzania

Tanzania mnacho tushindia ni mchele manake nyi waswahili wengi mnapenda wali lakini vyakula vyengine tunawashinda..

Kwa mfano ngano ambayo hutumika kutengeneza supageti/pasta, mkate, chapati, keki, Kenya inaconsume 2.3 million tonnes kwa mwaka, Tanzania ni 1.1 million....
Tanzania, United Republic Of Wheat Domestic Consumption by Year (1000 MT)
Kenya Wheat Domestic Consumption by Year (1000 MT)

Ikija kwa maziwa kenya inaproduce liter billion 5.5 wakati Tz inaproduce 2 billion.... Kenya mtu mmoja anakunywa wastani ya lita 120 ya maziwa kwa mwaka wakati Tz ni lita 47 kwa mwaka....

While milk production in Kenya stands at 5.5 billion litres annually, in Tanzania it stands at two billion litres and in Uganda 2.2 billion litres.
Tanzania has one of the lowest per capita milk consumption rates at 47 litres per annum compared with 120 litres per annum in Kenya and 54 litres in Uganda.
East Africa dairy sector at stake

alafu watu maskini hua hawatumii Sukari sana, ukiangalia Kenya ina produce 377,126 tonnes of sugar per year but consumes 870,000 tonnes of sugar Kenya sugar output to rise 19 pct in 2018 on good rainfall | Reuters
While Tanzania produces 300,000t and consumes 590,000 tonnes
Sugar - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest

--------
Kwahivyo hii hoja si nyepesi kabisa! Unafaa ujiulize kwanini licha ya Kenya kua na uhalifu, ugaidi, ukame...n.k inakuaje mkenya wa kawaida anaishi miaka mingi kuliko mtanzania wa kawaida
Kwenye sukari ..mna viwanda ving vya soft drinks na pipi na chocolates compared to Tz ..usiseme sijui watu maskin sijui sukari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom