Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Hamna kitu , wakenya wwanapenda ugali, wawe wanapesa au hawana, kama kweli mko na opions nyingi inakuaje Tanzania ni ya tatu africa (Baada ya DRC na Ethiopia) kuongoza kwa watoto walio na ulemavu wa kua -Stunted growth. Stunded growth inasababishwa na lack of balanced diet au lack of enough food.Hii hoja nyepesi sana.. kwani mahindi ndiyo chakula peke yake. Sasa kama tuna options nyingi kwa nini tukomae na ma ugali! Kenya kuna watu wengi wana kula ugali mchana na usiku. Tz ni ngumu sana kusikia mtu ana kula ugali usiku, mkoa naotoka mimi ugali ni chakula cha kipindi cha shida, mzee wangu yeye ugali haushuki kabisa. Kingine nyinyi mna penda githeri ambayo ni maindi matupu, inshort mazingira yenu yamewabana mle sana mahindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
To change the Stunting situation currently 42 per cent of under five children, and is only a two percentage points lower than it was five years ago. Slow down the burden of stunting in Tanzania which ranks third in Sub-Saharan Africa, after Ethiopia and the Democratic Republic of Congo. Changemakers - Creating Shared Value Prize - Community Wellbeing and Sustainable Livelihoods-Nutrition
Homepage | UNICEF United Republic of Tanzania
Tanzania mnacho tushindia ni mchele manake nyi waswahili wengi mnapenda wali lakini vyakula vyengine tunawashinda..
Kwa mfano ngano ambayo hutumika kutengeneza supageti/pasta, mkate, chapati, keki, Kenya inaconsume 2.3 million tonnes kwa mwaka, Tanzania ni 1.1 million....
Tanzania, United Republic Of Wheat Domestic Consumption by Year (1000 MT)
Kenya Wheat Domestic Consumption by Year (1000 MT)
Ikija kwa maziwa kenya inaproduce liter billion 5.5 wakati Tz inaproduce 2 billion.... Kenya mtu mmoja anakunywa wastani ya lita 120 ya maziwa kwa mwaka wakati Tz ni lita 47 kwa mwaka....
While milk production in Kenya stands at 5.5 billion litres annually, in Tanzania it stands at two billion litres and in Uganda 2.2 billion litres.
Tanzania has one of the lowest per capita milk consumption rates at 47 litres per annum compared with 120 litres per annum in Kenya and 54 litres in Uganda.
East Africa dairy sector at stake
alafu watu maskini hua hawatumii Sukari sana, ukiangalia Kenya ina produce 377,126 tonnes of sugar per year but consumes 870,000 tonnes of sugar Kenya sugar output to rise 19 pct in 2018 on good rainfall | Reuters
While Tanzania produces 300,000t and consumes 590,000 tonnes
Sugar - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
--------
Kwahivyo hii hoja si nyepesi kabisa! Unafaa ujiulize kwanini licha ya Kenya kua na uhalifu, ugaidi, ukame...n.k inakuaje mkenya wa kawaida anaishi miaka mingi kuliko mtanzania wa kawaida