Clinical medicine na nursing ipi kozi bora kwa mtoto wa kike kupata ajira kwa hali za sasa?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Clinical medicine na nursing ipi kozi bora kwa mtoto wa kike kupata ajira kwa hali za sasa?

Jamani tupeane uzoefu juu ya mada tajwa hapo juu..ili kijana awe na uchaguzi bora
 
😀😀😀😀😀😀Kwanini unampeleka mtoto wako wa kike kwenye kazi kama hizo mkuu😂😂😂. Kama anasura ngumu mpeleke ni sawa tu.
Ila mtoto wako kama unampenda mpeleke akasome kozi zinazoeleweka zinazoweza kuifanya hata familia yako kutajirika hapo baadaye akipata mchongo wa maana. Ni hayo tu.
Mimi nafuata nyayo za waisraeli tu.
 
Hii tabia ya kumchagulia mtu course ndio mnatusababishia uwepo wa wahudumu wasio na weledi katika taasisi.....

We unaamini mtoto wa miaka 15 (kwa Bongo) anatosha 'kujichagulia' kesho yake?
 
Mmmmmh mbona kama watu mmepanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😀😀😀😀😀😀Kwanini unampeleka mtoto wako wa kike kwenye kazi kama hizo mkuu😂😂😂. Kama anasura ngumu mpeleke ni sawa tu.
Ila mtoto wako kama unampenda mpeleke akasome kozi zinazoeleweka zinazoweza kuifanya hata familia yako kutajirika hapo baadaye akipata mchongo wa maana. Ni hayo tu.
Mimi nafuata nyayo za waisraeli tu.
Niambie kozi zipi kwa mfano,,rafiki..Nso unashauri
 
Hii tabia ya kumchagulia mtu course ndio mnatusababishia uwepo wa wahudumu wasio na weledi katika taasisi.....
Siyo kumchagulia lakini kumuguide,,hqwezi kujua kila kitu wakati ndo kamaliza foem six na hajawahi hata kufika Mwanza..kwa maana ya miji mikubwa
 
Sasa hivi kozi zote zimedoda kinacholipa kwa sasa ni udaktari bingwa
 
Asanteni,, nasubiri watu washee uzoefu
 
Kasome Nursing, kwanza jinsia ke pili serikali wanaajiri nursing zaidi kuliko taaluma nyingine
 
Back
Top Bottom