[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwanini unampeleka mtoto wako wa kike kwenye kazi kama hizo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]. Kama anasura ngumu mpeleke ni sawa tu.
Ila mtoto wako kama unampenda mpeleke akasome kozi zinazoeleweka zinazoweza kuifanya hata familia yako kutajirika hapo baadaye akipata mchongo wa maana. Ni hayo tu.
Mimi nafuata nyayo za waisraeli tu.