Clip ya YouTube Iniesta vs Zidane head to head wazee Zidane aliteswa sana

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Screenshot_20241015-041844_1.jpg

Nimeangalia clip Hadi nmeshangaa Zidane anagaragazwa kama mtoto na Inesta sasa izo sifa mnazompaga ZIDANE Huwa zinatoka wapi?

Sio Kila Cha kale ni dhahabu
 
Ukitaka kumuenjoy iniesta nenda kacheze Efootball 25
 
Itafika hatua halaand mtasema ni bora kuliko Ronaldo phenomenon.

Iniesta ni kweli alikuwa mchezaji mzuri mnoo, ila zidane ni habari nyingine, achana na hizi youtube video

Nimewaona wote wakicheza, kwangu zidane ni bora zaidi.
Pale france watu waliomzunguka zidane na alichokifanya, sidhani kama iniesta angefanya, na pale spain waliomzunguka Iniesta na alichokifanya zidane angefanya mara 3 yake.

Zidane alikuwa main man wa timu, ndio boss haswa, sio viera, wala Thierry henry.. But Iniesta alikuwa muhimu lakini sio bosi haswa wa timu, spain haikujengwa kumzungula iniesta, ufaransa ilijengwa kumzunguka zidane.
 
Kwa hiyo utube video ni uongo imekuwa-edited?
 
Itafika hatua halaand mtasema ni bora kuliko Ronaldo phenomenon.

Iniesta ni kweli alikuwa mchezaji mzuri mnoo, ila zidane ni habari nyingine, achana na hizi youtube .
Main man umewaona wakicheza against utacheka zidane anaanguka tu Kila akimkaba inesta
 
Itafika hatua halaand mtasema ni bora kuliko Ronaldo phenomenon.

Iniesta ni kweli alikuwa mchezaji mzuri mnoo, ila zidane ni habari nyingine, achana na hizi youtube video

Nimewaona wote wakicheza, kwangu zidane ni bora zaidi.
Pale france watu waliomzunguka zidane na alichokifanya, sidhani kama iniesta angefanya, na pale spain waliomzunguka Iniesta na alichokifanya zidane angefanya mara 3 yake.

Zidane alikuwa main man wa timu, ndio boss haswa, sio viera, wala Thierry henry.. But Iniesta alikuwa muhimu lakini sio bosi haswa wa timu, spain haikujengwa kumzungula iniesta, ufaransa ilijengwa kumzunguka zidane.
Kama umewaangalia wote na uka conclude Zidane ni bora kuliko Iniesta bac you're very biased, hata ukiwauliza Madrid fans waliowaona wote kati ya Zidane na Modric nani bora watakwambia Modric ni bora, na hata huyo Modric mwenyew he is not even better than Iniesta.

Ntaendelea kusema pia in my opinion namuona zidane yuko below Kevin De Bryune.

Kuna kasumba flani watu tunayo ya ku-praise sana vitu vya thamani au qualities za watu wa zamani.
 
Iniesta ni habari nyingine hapa naongelea ufundi sio umaarufu, Inawezekana Zidane akawa maarufu kuliko Iniesta ila Kwa upande wangu Iniesta ni bora kuliko Zidane.

Iniesta akiwa anatembea na mpira unaona kabisa mpira uko na fundi mkuu.
 
Nadhani mpira wa miguu umegawanyika kwenye era mbili. Era ya mpira wa vipaji na Era ya mpira wa namba.

Mpira wa namba utakufanya uamini Kevin De Brune ni bora kuliko Ricardo Kaka.
 
Sisi wa volleyball tunacomment wapi? Au tudubiri uwanja wetu wa mpira wa viwete?
 
Iniesta ni habari nyingine hapa naongelea ufundi sio umaarufu, Inawezekana Zidane akawa maarufu kuliko Iniesta ila Kwa upande wangu Iniesta ni bora kuliko Zidane.

Iniesta akiwa anatembea na mpira unaona kabisa mpira uko na fundi mkuu.
Iniesta ndo the most technical player of all time.
 
Back
Top Bottom