Mzee mbona unakuwa kama vile hujawahi kuchangia kweny mijadiliano ya mpira, hoja yako au yangu kupondwa ni jambo la kawaida sana kweny uchambuzi wa soka.
Sababu zako hazi make sense kwasababu huwez sema scenario ulizoona zidane anatoboa iniesta hawez kutoboa, inaonekana hujamwangalia iniesta akicheza au uko biased, Messi mwenyew ana respect kubwa sana na uwezo wa kimpira wa Iniesta, sometime hadi alisemaga iniesta yuko more technical than him, zidane yupo poa sana ila hajamzidi Iniesta kitu chochote, sio creativity, sio passing, sio dribbling.
Na watu wengi hawajui, prime ya zidane haikuwa alivokuwa anacheza Madrid bali alivokuwa anacheza Juventus, ila watu utawakuta wana praise version ya Zidane ya madrid.
Messi ni bora kuliko Maradona, Maradona ana creativity kubwa sana but wote tunajua defence za zamani zilikuwa shit, ugumu wa kupitisha through pass miaka ya 80s na kupitisha through pass 2010s au 2020s haufanani, today football is very advanced and defenders are trained very strategic kuzuia pass kupita kizembe.
makaveli10