beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Head to head ina maana walicheza wao peke yao? Halafu unafananishaje Zidane ambaye alikuwa anamalizia mpira wake na Iniesta ambaye ndio alikuwa anang'ara?Nimeangalia clip Hadi nmeshangaa zidane anagaragazwa kama mtoto na inesta sasa izo sifa mnazompaga ZIDANE Huwa zinatoka wapi?
Sio Kila Cha kale ni dhahabu
Mnapenda mitazamo yenu kuwa kwa wote,Kama umewaangalia wote na uka conclude Zidane ni bora kuliko Iniesta bac you're very biased, hata ukiwauliza Madrid fans waliowaona wote kati ya Zidane na Modric nani bora watakwambia Modric ni bora, na hata huyo Modric mwenyew he is not even better than Iniesta.
Ntaendelea kusema pia in my opinion namuona zidane yuko below Kevin De Bryune.
Kuna kasumba flani watu tunayo ya ku-praise sana vitu vya thamani au qualities za watu wa zamani.
Nasema hivi zaodane hafiki kwa INIESTA hata nusu.Nimeangalia clip Hadi nmeshangaa zidane anagaragazwa kama mtoto na inesta sasa izo sifa mnazompaga ZIDANE Huwa zinatoka wapi?
Sio Kila Cha kale ni dhahabu
Simba walimsajili sawa dogo kwa youtube videos 😂🤣Kwa hiyo utube video ni uongo imekuwa-edited?
Mzee mbona unakuwa kama vile hujawahi kuchangia kweny mijadiliano ya mpira, hoja yako au yangu kupondwa ni jambo la kawaida sana kweny uchambuzi wa soka.Mnapenda mitazamo yenu kuwa kwa wote,
Nishaeleza na sababu zangu.
Ukisema hivyo unakosea, mbona mie nakubali messi ni bora kuliko maradona!?
Hapo sasa unanifokea na unanilazimisha 🤣😂Mzee mbona unakuwa kama vile hujawahi kuchangia kweny mijadiliano ya mpira, hoja yako au yangu kupondwa ni jambo la kawaida sana kweny uchambuzi wa soka.
Sababu zako hazi make sense kwasababu huwez sema scenario ulizoona zidane anatoboa iniesta hawez kutoboa, inaonekana hujamwangalia iniesta akicheza au uko biased, Messi mwenyew ana respect kubwa sana na uwezo wa kimpira wa Iniesta, sometime hadi alisemaga iniesta yuko more technical than him, zidane yupo poa sana ila hajamzidi Iniesta kitu chochote, sio creativity, sio passing, sio dribbling.
Na watu wengi hawajui, prime ya zidane haikuwa alivokuwa anacheza Madrid bali alivokuwa anacheza Juventus, ila watu utawakuta wana praise version ya Zidane ya madrid.
Messi ni bora kuliko Maradona, Maradona ana creativity kubwa sana but wote tunajua defence za zamani zilikuwa shit, ugumu wa kupitisha through pass miaka ya 80s na kupitisha through pass 2010s au 2020s haufanani, today football is very advanced and defenders are trained very strategic kuzuia pass kupita kizembe.
makaveli10
Uefa Champions league Final 2011, Iniesta alimwonyesha ferguson who he truly is.Sir Alex Ferguson once said, "Give me 10 planks of wood, and Zidane and I will win the Champions League"
Uefa Champions league Final 2011, Iniesta alimwonyesha ferguson who he truly is.
You can't praise your enemy.Ila Fergie anamtambua Zidane zaidi ya Iniesta that speaks volume.
You can't praise your enemy.
Huwez msifia mtu aliyekudhalilisha.
Huyu aliyesema hivi ni Ferguson ambae amewaona wote Iniesta na Zidane.Nilikuuliza kwenye uzi mwingine umeanza lini kuangalia mpira this thread answers that qn. Kama Iniesta na Zizu unawajua kwa clips I rest my case. Bado una safari ndefu.
Sir Alex Ferguson once said, "Give me 10 planks of wood, and Zidane and I will win the Champions League"
Huyu aliyesema hivi ni Ferguson ambae amewaona wote Iniesta na Zidane.
Kiufupi Zidane ni James Bond, Iniesta ni Inspekta Seba.