Clips: Cheka unenepe!

Clips: Cheka unenepe!

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Nimerejea huku baada ya kuandikiwa PM kadhaa kuwa clips zinahitajika kwa sana ili watu kuweza kuvunjika mbavu.

Kama umekaa na watu wengi usifungue hii clip (chini) maana kicheko chake kinaweza kuwafanya wahisi hauko sawa...

Hebu download uvunjike mbavu!

Click here to Download:

BALAA
 
mimi sijacheka............kwa urefu ule ...................................unaweza kufikia kifuani
 
Jamaa atakuwa ameweka historia maishani! Na mtambo wa farasi ulivyo!
 
Back
Top Bottom