Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Nov 20, 2008 #1 Nimerejea huku baada ya kuandikiwa PM kadhaa kuwa clips zinahitajika kwa sana ili watu kuweza kuvunjika mbavu. Kama umekaa na watu wengi usifungue hii clip (chini) maana kicheko chake kinaweza kuwafanya wahisi hauko sawa... Hebu download uvunjike mbavu! Click here to Download: BALAA
Nimerejea huku baada ya kuandikiwa PM kadhaa kuwa clips zinahitajika kwa sana ili watu kuweza kuvunjika mbavu. Kama umekaa na watu wengi usifungue hii clip (chini) maana kicheko chake kinaweza kuwafanya wahisi hauko sawa... Hebu download uvunjike mbavu! Click here to Download: BALAA
L Lorah JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 1,193 Reaction score 202 Nov 20, 2008 #2 aiseee ni balaa kweli yani dah
N Nesindiso Sir JF-Expert Member Joined Oct 31, 2007 Posts 379 Reaction score 28 Nov 21, 2008 #3 Teh! Teh! Teh! Akome kujisaidia vichakani
Mchana Senior Member Joined Sep 27, 2007 Posts 183 Reaction score 16 Nov 21, 2008 #4 mimi sijacheka............kwa urefu ule ...................................unaweza kufikia kifuani
Calnde JF-Expert Member Joined Oct 7, 2008 Posts 1,373 Reaction score 278 Nov 21, 2008 #5 Jamaa atakuwa ameweka historia maishani! Na mtambo wa farasi ulivyo!