IwenaaaaaMboga ya jirani imeungua kisa kwenda kushabikia ugomvi usiomuhusu na kujisahau kama anapika. UBUTHU BOTHO πππππ
Wabargain ili waelewane vizuri abaki naona ndio roho yao!
Mwasibu abaki?Timu ifumuliwe yote...mpk jezi zije mpya
Huwezi mtoa bila watu kama yy Simba haiwezi kuwa namba one ukanda wa Africa mashariki na kati kwny sosho media...Mwasibu abaki?
Wafomatiwe waache umbumbumbuKabisa mkuu, na mashabiki wake wote pia wafumuliwe wawe wapya.