Cloatus Chota Chama anataka mpunga mrefu ili kubaki Simba

Cloatus Chota Chama anataka mpunga mrefu ili kubaki Simba

Mstaafu Mzee Chama anatutesa!

Anatafuta pesa za kustaafu!
 
Kosa la Simba ni kukubali natakiwa ya Kibu Ila Kama kweli anataka huo mshahara hawezi kupata kwa timu yoyote Tanzania.
 
Kwa mafanikio gani ya team ya kutaka aongezewe mshahara!?
 
Kiungo wetu mwenye spidi ya kononokono nae kazidi nyodo, aachwe tu na Yanga wasihangaike nae.
 
Timu zetu zimezidi kulipa pesa nyingi sana kuliko uwezo. Nimeshangaa kuwa Miqquisone alikuwa analipwa TSh 40,000,000 kwa Mwezi huku haingii uwanjani, au anaingia uwanjani dakika za mwisho mwisho tu. Kima cha juu sana cha mishahara ya wachezaji kisizidi TSh 20,000,000 na bonasi tena kwa sharti la kucheza angalu dakika 75 kila mechi.
 
Back
Top Bottom