Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IwenaaaaaMboga ya jirani imeungua kisa kwenda kushabikia ugomvi usiomuhusu na kujisahau kama anapika. UBUTHU BOTHO 😂😂😂😂😂
Wabargain ili waelewane vizuri abaki naona ndio roho yao!
Mwasibu abaki?Timu ifumuliwe yote...mpk jezi zije mpya
Huwezi mtoa bila watu kama yy Simba haiwezi kuwa namba one ukanda wa Africa mashariki na kati kwny sosho media...Mwasibu abaki?
Wafomatiwe waache umbumbumbuKabisa mkuu, na mashabiki wake wote pia wafumuliwe wawe wapya.