Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank god i switch everything off and sleep tight at 9.30pm. No time to listen to nonsense. lol!
Pole sana woman of substance panapokuwa na uhuru wa vyombo vya habari tegemea mambo kama haya. La msingi ni mtu kuwa selective chagua station ya maana ambayo utakuwa huru nayo muda wote hata kwa walio ndani na watoto wakisikia hawakwaziki!!!Kuna Kipindi cha Clouds sasa hivi kinaendelea.Mada ni Mume wa mtu au girlfriend wa mume wa mtu ni mtamu! Loveness Love - the Diva anafagilia sana na kusifia... ati maboyfriend ni wachafu wananuka midomo, hawaogi! Waume za watu wanaogeshwa na wake zao, wanapuliziwa mapafyumu.Wakija kwako wasafiiiiiiiii. Mume wa mtu akija kwako raha tupu..... anakuja kwa kazi moja tu anaondoka.Hakuonei wivu wala nini...... Sasa wanaongea na B12... kuhusu sex ... experiences zao nk. Hivi siku hizi watu wamechunwa uso kama samaki hawaoni aibu kuongea mambo ya faragha bayana?Utadhani hawajazaliwa n mama na baba zao! Hivi kama ndio mwanao anaongea hivi, mzazi utajisikiaje? NASHINDWA HATA KUANDIKA UJINGA WANAOONGELEA. Jamani mimi naona aibu kwa niaba yao! Saa hizi ndio kwanza saa 4, watoto bado hawajalala ... kweli maadili yataacha kumomonyoka?CLOUDS... ACHENI KUTUHARIBIA WATOTO WETU!!!!!!

What happened to the right to protected speech?

Kwani wewe umelazimishwa kumsikiliza jamani? Mi nadhani hakuna mwenye haki ya kudefine "values" na "maadili" ambayo inabidi sote tufuate. Its precisely because of this reality that we have laws of the land which bind us all. Sasa kama amevunja hizo sheria, watu mna haki ya kulalamika. Otherwise, I fully dont agree na hii tabia ya mtu kukaa kwenye comfort zone yake na kuanza ku-impose values na maadili yake on other people. I dont necessarily endorse what she says, alkini I strongly defend her right to say it. Maana watu mkianza kuja hapa mnadefine maadili na values...kesho tutaambiwa kwamba hairuhisiwi kufanya hiki na kile kwa sababu utaharibu maadili ya wengine.

Again, I might not endorse what she says, but lets learn to co-exist. Na kama hatukubaliani na anayoyasema, basi tutafute njia muafaka za kukifuta au kukirekebisha hiki kipindi na wala siyo kuja hapa na kusema kwa fulani anaharibu maadili ya wengine. Its a tough call, but the world has changed big time! and we should be responsive to changes. We live in the world and era of google where no body has a monopoly of truth!

Masanja
sawa, sasa mambo ya yeye sijuwi kaachwa sijuwi vipi yana husu nini hapa?
you changed my way of responding to issues.thanks, i got something for today.you are genius.What happened to the right to protected speech?
Kwani wewe umelazimishwa kumsikiliza jamani? Mi nadhani hakuna mwenye haki ya kudefine "values" na "maadili" ambayo inabidi sote tufuate. Its precisely because of this reality that we have laws of the land which bind us all. Sasa kama amevunja hizo sheria, watu mna haki ya kulalamika. Otherwise, I fully dont agree na hii tabia ya mtu kukaa kwenye comfort zone yake na kuanza ku-impose values na maadili yake on other people. I dont necessarily endorse what she says, alkini I strongly defend her right to say it. Maana watu mkianza kuja hapa mnadefine maadili na values...kesho tutaambiwa kwamba hairuhisiwi kufanya hiki na kile kwa sababu utaharibu maadili ya wengine.
Again, I might not endorse what she says, but lets learn to co-exist. Na kama hatukubaliani na anayoyasema, basi tutafute njia muafaka za kukifuta au kukirekebisha hiki kipindi na wala siyo kuja hapa na kusema kwa fulani anaharibu maadili ya wengine. Its a tough call, but the world has changed big time! and we should be responsive to changes. We live in the world and era of google where no body has a monopoly of truth!
Masanja
kumbe aliachwa? mwe...dont tell me jamaniJamni huyu binti stress za kuachwa zinamsumbua!!!!
duh....unanikumbusha redio tanzaniaNatamani angekuwa anatangaza habari za vifo......!
kuna kipindi cha clouds sasa hivi kinaendelea.mada ni mume wa mtu au girlfriend wa mume wa mtu ni mtamu!
Loveness love - the diva anafagilia sana na kusifia... Ati maboyfriend ni wachafu wananuka midomo, hawaogi! Waume za watu wanaogeshwa na wake zao, wanapuliziwa mapafyumu.wakija kwako wasafiiiiiiiii. Mume wa mtu akija kwako raha tupu..... Anakuja kwa kazi moja tu anaondoka.hakuonei wivu wala nini......
Sasa wanaongea na b12... Kuhusu sex ... Experiences zao nk.
Hivi siku hizi watu wamechunwa uso kama samaki hawaoni aibu kuongea mambo ya faragha bayana?utadhani hawajazaliwa n mama na baba zao! Hivi kama ndio mwanao anaongea hivi, mzazi utajisikiaje? Nashindwa hata kuandika ujinga wanaoongelea.
Jamani mimi naona aibu kwa niaba yao!
Saa hizi ndio kwanza saa 4, watoto bado hawajalala ... Kweli maadili yataacha kumomonyoka?
clouds... Acheni kutuharibia watoto wetu!!!!!!