Clouds: Acheni kufagilia upuuzi - wewe Diva - Loveness Love unajiaibisha....

Uandishi wa habari na utangazaji ni taaluma kama vile kuwa Daktari wa Binadamu au Daktari wa Wanyama, kama kuwa Dereva au kama kuwa Mkemia. Lakini leo hii taaluma ya Utangazaji na Uandishi wa habari imekuwa ni sehemu ambayo mtu yeyote asiye na mwelekeo wa kimaisha anaamua kwenda chuo cha Uandishi wa habari baada ya miezi 3 naye anajiita Mtangazaji na mwandishi wa Habari.

Nchi za wenzetu huwezi kutanza suala lolote la uchambuzi kama huna taaluma nalo, ni lazima uende shule kiundani kuhusu taaluma ya suala hilo. Ukitaka kuzungumzia taakuma ya mapenzi lazima uende shule ueleweshwe na walimu wa Tabia na mienendo ya mahusiano ya mapenzi.

Lakini huyo Mtoto bint mdogo nadhani kavunja Ungo juzix2 DIVA anatangaza kipindi hicho, hiyo taaluma ya kuchambua hayo mapenzi kaipata wapi?.
Nasema kuna umuhimu wa kumuambia wazi kwenye magazeti anachefua, ananuka kama mavi, anatia kichefuchefu na anakera kwa kutangaza kile ambacho hana taaluma nacho.

Kuna siku katikati ya mwezi Machi,2010 alitangaza eti, alikuwa na rafiki wa kiume, yaani rafiki siyo mpenzi wa kulala nae, sasa eti anadai siku moja alikwenda kwa huyo rafiki yake wa kiume ili waaende mziki usiku, sasa eti jamaa akataka kushikashika huyo Mtoto DIVA akiwa amekaa kwenye kochi ili matokeo yake wafanye ngono. Bila aibu wala soni, wala nini eti akasema akakataa na jamaa huyo kila anapomuona huyo Mtoto (kwa maana ya umri wake) huwa anamkibia.
Huu ni upuuzi ambao haupaswa kurushwa hadharani, anataka kumaanisha nini kwamba yeye siyo MAJI MALA MOJA kwamba yeye siyo njegere ila ni maharage?
Nasema. Serikali na hasa Kamisheni ya Mawasiliano inapaswa kuliona hili.

HUYO BINT NI MPUMBAVU. ashakumu si MATUSI nimelisema hilo kwa makusudi

Thank god i switch everything off and sleep tight at 9.30pm. No time to listen to nonsense. lol!

What happened to the right to protected speech?

Kwani wewe umelazimishwa kumsikiliza jamani? Mi nadhani hakuna mwenye haki ya kudefine "values" na "maadili" ambayo inabidi sote tufuate. Its precisely because of this reality that we have laws of the land which bind us all. Sasa kama amevunja hizo sheria, watu mna haki ya kulalamika. Otherwise, I fully dont agree na hii tabia ya mtu kukaa kwenye comfort zone yake na kuanza ku-impose values na maadili yake on other people. I dont necessarily endorse what she says, alkini I strongly defend her right to say it. Maana watu mkianza kuja hapa mnadefine maadili na values...kesho tutaambiwa kwamba hairuhisiwi kufanya hiki na kile kwa sababu utaharibu maadili ya wengine.

Again, I might not endorse what she says, but lets learn to co-exist. Na kama hatukubaliani na anayoyasema, basi tutafute njia muafaka za kukifuta au kukirekebisha hiki kipindi na wala siyo kuja hapa na kusema kwa fulani anaharibu maadili ya wengine. Its a tough call, but the world has changed big time! and we should be responsive to changes. We live in the world and era of google where no body has a monopoly of truth!

Masanja

Kuna Kipindi cha Clouds sasa hivi kinaendelea.Mada ni Mume wa mtu au girlfriend wa mume wa mtu ni mtamu! Loveness Love - the Diva anafagilia sana na kusifia... ati maboyfriend ni wachafu wananuka midomo, hawaogi! Waume za watu wanaogeshwa na wake zao, wanapuliziwa mapafyumu.Wakija kwako wasafiiiiiiiii. Mume wa mtu akija kwako raha tupu..... anakuja kwa kazi moja tu anaondoka.Hakuonei wivu wala nini...... Sasa wanaongea na B12... kuhusu sex ... experiences zao nk. Hivi siku hizi watu wamechunwa uso kama samaki hawaoni aibu kuongea mambo ya faragha bayana?Utadhani hawajazaliwa n mama na baba zao! Hivi kama ndio mwanao anaongea hivi, mzazi utajisikiaje? NASHINDWA HATA KUANDIKA UJINGA WANAOONGELEA. Jamani mimi naona aibu kwa niaba yao! Saa hizi ndio kwanza saa 4, watoto bado hawajalala ... kweli maadili yataacha kumomonyoka?
CLOUDS... ACHENI KUTUHARIBIA WATOTO WETU!!!!!!
Pole sana woman of substance panapokuwa na uhuru wa vyombo vya habari tegemea mambo kama haya. La msingi ni mtu kuwa selective chagua station ya maana ambayo utakuwa huru nayo muda wote hata kwa walio ndani na watoto wakisikia hawakwaziki!!!

Ni mtoto tu akikua ataacha. Hata sura yake ukiangalia bado ana harufu ya maziwa huyu! tumuombee mambo mengine hayawezekaniki bila maombi.

The devil at work - wengine wanamtumikia shetani bila hata kujielewa! Laiti angebadilisha kibao - badala ya kwenda njia pana akaenda njia nyembamba

Tena huyu bint sikujua kuwa hana adabu hata kidogo.
Ktk Facebook analalamika eti JF na Cham Cha Wanawake wanamfuatilia maisha yake na vivazi vyake, Jamaa mmoja akajaribu kumrekebisha DUU! ametapika matusi makubwa ya nguoni yaani niaibu hata kuyanukuu hapa. hata mzazi wake akiyaona ni aibu, hana nidhamu hata kigogo.
Kama ana boyfriend SORRY 4 HIM.

What happened to the right to protected speech?

Kwani wewe umelazimishwa kumsikiliza jamani? Mi nadhani hakuna mwenye haki ya kudefine "values" na "maadili" ambayo inabidi sote tufuate. Its precisely because of this reality that we have laws of the land which bind us all. Sasa kama amevunja hizo sheria, watu mna haki ya kulalamika. Otherwise, I fully dont agree na hii tabia ya mtu kukaa kwenye comfort zone yake na kuanza ku-impose values na maadili yake on other people. I dont necessarily endorse what she says, alkini I strongly defend her right to say it. Maana watu mkianza kuja hapa mnadefine maadili na values...kesho tutaambiwa kwamba hairuhisiwi kufanya hiki na kile kwa sababu utaharibu maadili ya wengine.

Again, I might not endorse what she says, but lets learn to co-exist. Na kama hatukubaliani na anayoyasema, basi tutafute njia muafaka za kukifuta au kukirekebisha hiki kipindi na wala siyo kuja hapa na kusema kwa fulani anaharibu maadili ya wengine. Its a tough call, but the world has changed big time! and we should be responsive to changes. We live in the world and era of google where no body has a monopoly of truth!

Masanja

Masanja mtoa mada halalamiki kwa ajili yake ila kwa ajili ya society, hata kama yeye ataacha kusikiliza wengine watasilikiza na kama kuna madhara yatawapata, hasa vijana. Pia usilaumu watu kuleta malalamiko yao hapa kwa sababu ndio kazi ya jukwaa hili. Mimi mwenyewe nimewahi kumsikia huyu mtoto, kwa kweli anatia kichefuchefu na nilishawahi kulalamika hapa pia. Kwa maana hiyo naunga mkono hoja. That woman is stupid.

What happened to the right to protected speech?

Kwani wewe umelazimishwa kumsikiliza jamani? Mi nadhani hakuna mwenye haki ya kudefine "values" na "maadili" ambayo inabidi sote tufuate. Its precisely because of this reality that we have laws of the land which bind us all. Sasa kama amevunja hizo sheria, watu mna haki ya kulalamika. Otherwise, I fully dont agree na hii tabia ya mtu kukaa kwenye comfort zone yake na kuanza ku-impose values na maadili yake on other people. I dont necessarily endorse what she says, alkini I strongly defend her right to say it. Maana watu mkianza kuja hapa mnadefine maadili na values...kesho tutaambiwa kwamba hairuhisiwi kufanya hiki na kile kwa sababu utaharibu maadili ya wengine.

Again, I might not endorse what she says, but lets learn to co-exist. Na kama hatukubaliani na anayoyasema, basi tutafute njia muafaka za kukifuta au kukirekebisha hiki kipindi na wala siyo kuja hapa na kusema kwa fulani anaharibu maadili ya wengine. Its a tough call, but the world has changed big time! and we should be responsive to changes. We live in the world and era of google where no body has a monopoly of truth!

Masanja
you changed my way of responding to issues.thanks, i got something for today.you are genius.

Natamani angekuwa anatangaza habari za vifo......!

thanks for bringing up this nonsense coz am also so fed up with this programme!! Huwa najiuliza hivi hizi redio siku hizi haziwi regulated??? Mara nyingi kipindi hiki kikianza mm huwa nachange station au kuzima radio kwa sababu ni kipindi cha aibu tupu na mbaya zaidi kinarushwa mapema. Huyu binti anayejiita diva nimemsoma hapa jana akilalama na kutishia kwamba anasakamwa na jf na kwamba atashitaki/kuchukua hatua. Ukweli ni kwamba anavuna alichopanda. Jamani mm naomba tukikemee hiki kipindi au radio yao vinginevyo tujiandae kwa matokeo yake kwa watoto wetu!!

kuna kipindi cha clouds sasa hivi kinaendelea.mada ni mume wa mtu au girlfriend wa mume wa mtu ni mtamu!

Loveness love - the diva anafagilia sana na kusifia... Ati maboyfriend ni wachafu wananuka midomo, hawaogi! Waume za watu wanaogeshwa na wake zao, wanapuliziwa mapafyumu.wakija kwako wasafiiiiiiiii. Mume wa mtu akija kwako raha tupu..... Anakuja kwa kazi moja tu anaondoka.hakuonei wivu wala nini......

Sasa wanaongea na b12... Kuhusu sex ... Experiences zao nk.

Hivi siku hizi watu wamechunwa uso kama samaki hawaoni aibu kuongea mambo ya faragha bayana?utadhani hawajazaliwa n mama na baba zao! Hivi kama ndio mwanao anaongea hivi, mzazi utajisikiaje? Nashindwa hata kuandika ujinga wanaoongelea.

Jamani mimi naona aibu kwa niaba yao!

Saa hizi ndio kwanza saa 4, watoto bado hawajalala ... Kweli maadili yataacha kumomonyoka?

clouds... Acheni kutuharibia watoto wetu!!!!!!

Swala hapa siyo kulazimishwa kusikizwa but rather wajibu wako kama mwanajamii kukemea jambo ambalo kwa culture zetu halikubaliki!! Hivi unajisikiaje wakati uko sebulani na family au watoto halafu kipindi hicho kinarushwa?? Tuacheni haya mambo ya kuigaiga uzungu kwa sababu sisi tuna values zetu. Leo tunalalamika kila kona taifa limeporomoka kimaadili, watoto wetu wanaanza kujiingiza mapema sana kwenye ngono and the like, unadhani sababu mojawapo ni nn?? Timiza wajibu wako leo!!
What happened to the right to protected speech?

Kwani wewe umelazimishwa kumsikiliza jamani? Mi nadhani hakuna mwenye haki ya kudefine "values" na "maadili" ambayo inabidi sote tufuate. Its precisely because of this reality that we have laws of the land which bind us all. Sasa kama amevunja hizo sheria, watu mna haki ya kulalamika. Otherwise, I fully dont agree na hii tabia ya mtu kukaa kwenye comfort zone yake na kuanza ku-impose values na maadili yake on other people. I dont necessarily endorse what she says, alkini I strongly defend her right to say it. Maana watu mkianza kuja hapa mnadefine maadili na values...kesho tutaambiwa kwamba hairuhisiwi kufanya hiki na kile kwa sababu utaharibu maadili ya wengine.

Again, I might not endorse what she says, but lets learn to co-exist. Na kama hatukubaliani na anayoyasema, basi tutafute njia muafaka za kukifuta au kukirekebisha hiki kipindi na wala siyo kuja hapa na kusema kwa fulani anaharibu maadili ya wengine. Its a tough call, but the world has changed big time! and we should be responsive to changes. We live in the world and era of google where no body has a monopoly of truth!

Masanja

Huyo binti Tahaira yani mie nashindwa hata kumsikiliza kwani nikisikia tu sauti yake kwenye Redio Nazima kabisa au nabadilisha Station. Hana cha maana anachoongea zaidi ya upunguani na ukosefu wa miundo mbinu ya ubongo. Cjui anafananaje ila nahisi atakua very ugly.

Back
Top Bottom