Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
kwa hyo ulikua unaenda hyo mikoa yote kufuata fiesta? halaf wewe si umemsifia ruge juzi kuwa anajua kufungua vijana kwa fursa?
ndo maana arusha tuliwapasua....hakuna fiesta wala serengiti fiesta,chezea machali wa toto wa bibii vijukuu vya babu.....Kwenye shoo ya Mtwara mlisema anakuja Ommy Dimpoz. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Iringa mlisema anakuja AY. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Mwanza mlisema anakuja Diamond. Hatukumuona.
Kama ndiyo njia mliyogundua ya kuwaibia raia basi mmebugi kinomanoma. Mnapotea wazee.
Ndiyo nilimsifia. So what?
Kwenye shoo ya Mtwara mlisema anakuja Ommy Dimpoz. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Iringa mlisema anakuja AY. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Mwanza mlisema anakuja Diamond. Hatukumuona.

Ngoja nikusahihishe dada,ni kweli ilikuwa awepo kwenye fiesta Mwanza but ratiba ilimbana.
kwanza Ijumaa alikuwa na show zanzibar..wakati huo alikuwa ana kabiliwa na show mbili kwa usiki mmoja,Fiesta mwanza na show nyingine Geita kwa vile Mwanza alitakiwa apande sa 7 ilimbidi aende Geita,so tulienda Geita usiku huo akapiga show but hali ikivyokuwa ilikuwa vigum akatishe show njian watu walikuwa kama wamepagawa kwa show yake angekatisha watu wasingemwelewa
amekuja kumaliza show usiku ushaenda na hakukuwa na pantoni ya kutuvusha kurudi mwanza kwa usiku huo huo.
hata hivyo kesho yake alifanya onyesho Mwanza ndani ya Gold crest hotel,na kwa mara ya kwanza kabisa
alliimba na bend live.
Ahsanten.

FURSA - Majinga makubwa yanakaa kusikiliza elimu ya ujasiriamali kutoka kwa Lulu.
Mliwa 0713 na domo upo?
unarud ln Take One nitune-in?
Umenisahihisha au umetoa maelezo? We pimbi nini.