Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Kwenye shoo ya Mtwara mlisema anakuja Ommy Dimpoz. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Iringa mlisema anakuja AY. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Mwanza mlisema anakuja Diamond. Hatukumuona.
Kama ndiyo njia mliyogundua ya kuwaibia raia basi mmebugi kinomanoma. Mnapotea wazee.
Kama ndiyo njia mliyogundua ya kuwaibia raia basi mmebugi kinomanoma. Mnapotea wazee.