Clouds FM acheni kutulazimisha kuwa ligi bora duniani ni EPL!

Clouds FM acheni kutulazimisha kuwa ligi bora duniani ni EPL!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, hawa jamaa wamekazana kutulisha uongo kuwa ligi bora duniani eti ni EPL.
Vigezo vingi tu vya uhalisia dhidi ya uongo wa Clouds, nakumbuka hata aliyekuwa rais wa FIFA SB alitamka wazi kuwa ligi bora Duniani ni La Liga.
Tuwe tunaangalia kile mguu unatoa na si kile mdomo unatoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kumbe ulisikia kwa Rais wa FIFA SB. Ambaye alishaondolewa kwa sasa! Labda kwa kipind hiki cha Infantino things have changed!
Mambo ya soka ni dynamic, one day will be Africa. Kwa hiyo tusikariri mda wote

Mkuu, hawa hata kabla ya SB kuondolewa madarakani wimbo wao ni huohuo siku zote. Sikiliza vipindi vyao vya michezo wakati wa majadiliano watajikita muda mwingi kuelezea habari za timu za EPL kuliko hata timu za Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hao waandishi ni zero kichwani wanakariri kila wanachosikia vyombo vya Habari vya uingereza wanatangaza sana ligi yao lakini la Liga ndio ligi bora
 
EPL hata kama ni ya kumi kwa ubora, ila inaburudani nzuri!
Kwa Mwaka 2019 EPL kwangu ni Lig bora Duniani , maana finali ya Uefa na Europa ilkuwa tm zote EPL.
Bingwa UEFA EPL
Bingwa Europa EPl
Bingwa USC EPL
Bingwa CWC EPL.

Sasa hiyo habari ya La liga Sjui Bundesliga kwa lipi wamefanya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hii naweza kuangalia match ya

leicester vs everton

New castle vs totenham

Wolves vs shelfield

Ntainjoy saana mpira. Nitaona jinsi watu wanavyoshindana haswaa. Hapo bado sijaweka big matches

Huko laliga zaidi ya el classico nyingine zote sizitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, hawa jamaa wamekazana kutulisha uongo kuwa ligi bora duniani eti ni EPL.
Vigezo vingi tu vya uhalisia dhidi ya uongo wa Clouds, nakumbuka hata aliyekuwa rais wa FIFA SB alitamka wazi kuwa ligi bora Duniani ni La Liga.
Tuwe tunaangalia kile mguu unatoa na si kile mdomo unatoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado unasikiliza media zenye bifu na wasanii? Pole
 
Back
Top Bottom