Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Kwa nini wasiongelee kwa mda mwingi EPL wakati ndo ligi inayoshabikiwa na watu wengi hapa nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hawa hata kabla ya SB kuondolewa madarakani wimbo wao ni huohuo siku zote. Sikiliza vipindi vyao vya michezo wakati wa majadiliano watajikita muda mwingi kuelezea habari za timu za EPL kuliko hata timu za Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app