Wewe kumbe ulisikia kwa Rais wa FIFA SB. Ambaye alishaondolewa kwa sasa! Labda kwa kipind hiki cha Infantino things have changed!Wakuu, hawa jamaa wamekazana kutulisha uongo kuwa ligi bora duniani eti ni EPL.
Vigezo vingi tu vya uhalisia dhidi ya uongo wa Clouds, nakumbuka hata aliyekuwa rais wa FIFA SB alitamka wazi kuwa ligi bora Duniani ni La Liga.
Tuwe tunaangalia kile mguu unatoa na si kile mdomo unatoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hawa hata kabla ya SB kuondolewa madarakani wimbo wao ni huohuo siku zote. Sikiliza vipindi vyao vya michezo wakati wa majadiliano watajikita muda mwingi kuelezea habari za timu za EPL kuliko hata timu za Africa.Wewe kumbe ulisikia kwa Rais wa FIFA SB. Ambaye alishaondolewa kwa sasa! Labda kwa kipind hiki cha Infantino things have changed!
Mambo ya soka ni dynamic, one day will be Africa. Kwa hiyo tusikariri mda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabisaWewe kumbe ulisikia kwa Rais wa FIFA SB. Ambaye alishaondolewa kwa sasa! Labda kwa kipind hiki cha Infantino things have changed!
Mambo ya soka ni dynamic, one day will be Africa. Kwa hiyo tusikariri mda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi pendwa na ligi bora duniani, kwa mawazo yangu ni EPL, yaani LA liga siipendi bora hata ligi ya Scotland au Holland
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado unasikiliza media zenye bifu na wasanii? PoleWakuu, hawa jamaa wamekazana kutulisha uongo kuwa ligi bora duniani eti ni EPL.