balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
hata mie nikewasikia nikashangaaMuda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
Wasamehe Mkuu bado wana Wenge la Msiba ukizingatia wengine nao wako katika Chain ijayo kutokana na Kushea!!!Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikikuta wanaichambua kesho sitashangaa.
Wachambuzi wote pale clouds ni walozi, inawezekana wanaangalia mechi ya kuzimu!Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!