ndio maana hawajaonyesha mazishi yake
maana niwajuavyo kllauz hili lilikuwa si la kuwapita
Aise. Ndo maana wameachana na habari za ngwea..
Pole sana millard.. Poleni klauzi. Jirekebisheni!
Wangetajwa mngelia....sasa mwadai hawajatajwa ishakuwa nongwa! Mnashangaza sana kwa kweli. Yaani ni kama vile ulikuwa unatega masikio kusikia neno clouds.
kama ulikuepo kwenye viwanja vya leaders au ulikua ukiona kupitia eatv, kuanzia kwa adam juma mpaka kwa msemaji wa familia walitaja redio na stations mbali mbali wakizishukuru, lakina cha ajabu hawakuitaja clouds fm kwa kusaidia kuripoti habari za msiba wa ngwea kutoka moja kwa moja johanesburg na kuhusisha vipindi vyake karibia vyote na habari za ngwea! My take#p.funk majani ni kweli alisema ukweli na inaonekana hata familia ya ngwea ilichukia kuhusu clouds fm na madai yaliyo tolewa na majani, na ndio maana hata msemaji wa familia akuishukuru clouds fm.
wewe sio mkweli......adam na wazungumzaji wengine wametaja CLOUDS MEDIA GROUP.......clouds fm imo humo clouds media group......
Wameitaja tena ndio ya kwanza wameishukuru kwa kufanikisha kuusafirisha mwili
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums