Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unatumia ile njia kwamba ''UKITAKA KUMUUA MBWA BASI MPE JINA BAYA''...
Huyu atamuwekea sumu, yule atampiga jiwe akimuona, wale watamfukuza na kumrushia magongo wakimuona''...
Acha kuwa zezeta Januari to Disemba
kama majani kaangaika sana na gwair(rip)...jamaa anasema walikua wanarekod mpaka usiku..alafu clouds wanamfanyisha show bure...mimi nashangaa watu wanaowashabikia hawajui wanavyo wazulumu na kuwanyanyasa wasanii...we acha 2, majani ndio mwisho wao wa reli..ulishajiuliza akikataa kabisa wimbo wowote wa bngo flev uliorekodiwa bongo rec. Ucpigwe itakuaje?
hopeless bibi yako!! tatizo unaendeshwa kwa hisia za chuki tu mi sina shida ya kuwatetea clouds ila nina uhakika na nnachokisema sasa km unajiskia hamu ya kubisha we bisha tu!!
kama majani kaangaika sana na gwair(rip)...jamaa anasema walikua wanarekod mpaka usiku..alafu clouds wanamfanyisha show bure...mimi nashangaa watu wanaowashabikia hawajui wanavyo wazulumu na kuwanyanyasa wasanii...
kama ulikuepo kwenye viwanja vya leaders au ulikua ukiona kupitia eatv, kuanzia kwa adam juma mpaka kwa msemaji wa familia walitaja redio na stations mbali mbali wakizishukuru, lakina cha ajabu hawakuitaja clouds fm kwa kusaidia kuripoti habari za msiba wa ngwea kutoka moja kwa moja johanesburg na kuhusisha vipindi vyake karibia vyote na habari za ngwea! My take#p.funk majani ni kweli alisema ukweli na inaonekana hata familia ya ngwea ilichukia kuhusu clouds fm na madai yaliyo tolewa na majani, na ndio maana hata msemaji wa familia akuishukuru clouds fm.
dume beberu haswaa!na wewe mwenzangu mbona unaandika pumba kama hizi wew ni jinsia gan?
We wajuaje...labda ameshazeeka na sasa ni mchawi.
kama majani kaangaika sana na gwair(rip)...jamaa anasema walikua wanarekod mpaka usiku..alafu clouds wanamfanyisha show bure...mimi nashangaa watu wanaowashabikia hawajui wanavyo wazulumu na kuwanyanyasa wasanii...
Ndio maana AFrika maradhi na vifo kila siku vinaongezeka!! Hivi wewe raia wa kawaida ambae hujawahi kupeleka tangazo redioni hata siku moja halafu unaichukia Clouds, unazani unawapunguzia nini kama sio kujitia stress zisizo na msingi?! Najua kuna wengine watasema hiyo Clouds ipo juu kwa ajili ya wasikilizaji, but whether you like or not, Clouds inachukiwa na wana-JF pekee ambao wengi wao ni wale wanaotaka kuchanganya siasa na burudani!!! Pamoja na some JF members, wengine wanaoichukia Clouds ni wasanii waliochuja ambao kila wanapochuja lawama wanazipeleka kwa Clouds!! Kutokana na upuuzi wao, hawaamini kwamba watasikika hadi nyimbo zao zipigwe Clouds!!! Yaani wasanii wa kibongo wapo tayari nyimbo zao zisipigwe radio zote lakini zipigwe Clouds, na zisipopigwa huko, NONGWA!
Far beyond your rubbish and nonsense thinking!!Rubbish and non sense