Clouds fm haijatajwa msiba wa Albert Mangwea

1. Kwani alikuwa analazimishwa hizo show? By the way, kwanini akubali kufanya bure?
2. Clouds wanafanya show ngapi kwa mwaka mbali na Fiesta? Ina maana msanii anaweza ku-lost kwa kukosa show ya Fiesta pekee?

wewe DJ FETTY mbona unaongea sana! Radio lenu hatuna imani nalo tena!
 

Hahaha wanaikubali redio ya watu kimya kimya ila wanajifanya kuipiga mawe kwa sababu zisizo za msingi. Wajipange upya ila kwa sasa hawana la msingi bado.
Kuonewa au kutoonewa kwa msanii ni network nzima sio clouds tu kwani na wao ni wadau mojawapo kwenye tasnia ya mziki. Kuna manager wa msanii, kuna wananchi binafsi ambao kila siku ni kuburn CD, kuna distributor...n.k...sasa ukiona shida jua hawa actors wote kwa namna moja au nyingine hawakutimiza wajibu wao kama network na si kama mmoja as clouds wanafanywa mbuzi wa kafara.

Kuhusu siasa tukubali Wanadamu wako value ladden ndo maana unamkuta mtu hafichi msimamo wake hasa hawa watangazaji...kama mtu anajikuta anaegemea upande flani kisiasa kwenye kutetea hoja flani basi alaumiwe yeye na si clouds kama clouds
 

Una chuki hadi masikio yamejenga CHUJIO, ikitajwa clouds husikii.
 
Cloud wapo juu sana hata mie nawakubali,hao wakongwe kama jeidee wajue kuwa their time is up in music industry,ni mwendo wa kupokezana vijiti,huwezi ukawa juu miaka yote.
Watajwe,wasitajwe kwenye msiba is not big deal.kwani walikwenda kutajana majina au kuzika pale.
 
lakini jamani huyu teja clouds si walimsaidia sana albamu ya kwanza akafungua kijiwe chake cha kunywea pombe na kuvutia madawa 120 bar na kununua gari ambalo sp[ea zake bongo hakuna na starehe nyingi mbona hamkulaumu enzi hizo
 
Ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikiri, au?!

hilo ndio jibu kamili! haya niulize swali sasa!
narudia tena "wewe DJ FETTY mbona unaongea sana! Radio lenu hatuna imani nalo tena!"
 

Mawazo yako hayana tofauti na kujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara...anytime inabomolewa!
Unatoa povu kwa pumba za ajabu
 
lakini jamani huyu teja clouds si walimsaidia sana albamu ya kwanza akafungua kijiwe chake cha kunywea pombe na kuvutia madawa 120 bar na kununua gari ambalo sp[ea zake bongo hakuna na starehe nyingi mbona hamkulaumu enzi hizo

bora ye teja kuliko we taahira...
 
hilo ndio jibu kamili! haya niulize swali sasa!
narudia tena "wewe DJ FETTY mbona unaongea sana! Radio lenu hatuna imani nalo tena!"
Naona unamuota sana huyo DJ FETTY, bila shaka amekuchukulia bwana ako!
 
Mawazo yako hayana tofauti na kujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara...anytime inabomolewa!
Unatoa povu kwa pumba za ajabu
Mifano isiyokuwa na kichwa wala miguu!! Narudia, chuki zenu kwa Clouds ni za kijinga coz' hamwapunguzii chochote!! Humu jamvini kila cku utawasikia wakiiponda Clouds, lakini hao hao cku nyingine utawasikia "Kibonde kasema....." Kama sio ujinga kuwa nini? Mnaiponda huku mnaendelea kuisikiliza....!!
 
Umeona enh!! Tena wasivyo na aibu, wengine wanatoka povu kuiponda Clouds wakati wana-type huku wakiisikiliza hiyo hiyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…