Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

kumbe wafanyakazi wa clouds ni vibarua..au ndo kutafuta tension ya watu
 
PB bila Gerard Hando na PJ sijui kama ntakisikilza tena,hawa majamaa walikua wanapamba kipindi na kuanzisha mada motomoto na PJ alkua anajua jins ya kuchambua magazet vizur
Siku hz Fredwaa anasoma kama hadithi tu ilimradi amalize kusoma.
Fredwaa alipoteza netwek alipohama mwanza na kwenda. TIMES FM HAD hapo alipo
 
Siku ya wehu duniani ni kesho pia!!! Japo saa sita usiku bado haijafika
 
Tuko pamoja mkuu, hebu wampeleke Jahazi labda au powerbreakfast on Saturday, by the way kwa nilivyomsikiliza ruge leo, sioni kama PJ & GH, AO watarudi, na sijui ni nani kati ya hao alihamasisha watu watu wasihudhurie event ya malkia wa nguvu
Yaani hadi leo bado Fredwaa hajapata kipindi clouds ila amejiattach tu,kwa walomjulia RFA nadhan wananielewa,vinginevyo kiundwe au kianzishwe kipindi kingine atakachokimudu si vya sasa.Fredwaa amekua incompetent hapo anapofanyia sasa
 
Hii habari ni upotoshaji. PJ na Hando hawajatemwa ila wamekataa wenyewe kusaini upya mikataba ya ajira sababu wanapunjwa mno mgawo kwa hela wanayoingiza kwenye matangazo.
Madai haya ndio hayohayo yalisemwa chini chini juu ya kuondoka kwa MASOUD WA KP
 
Gerald hando unayo experience kubwa / katika entertainment ni wakati wako sasa wa kupalani ni jinsi gani UTAANZISHA RADIO YAKO.
wish you well.
never minds.
Tehtehteh sijui we umekula maharage ya wapi? hv gharama za kuanzisha kituo cha radio unazijua au unafikiri ni matako kila mtu awe nayo???..
 
April 1 ambayo ni kesho ni siku ya wajinga dunian. Poleni woooooote mlio chuuzwa na mleta uzi huu. Teh teh teh
 
we umetumia kipomo gani kuona anaweza? hv gharama za kumiliki kituo unazijua? ingekua rahisi hata akina millard Ayo wangeshadungua vituo vyao...
Usiusemee moyo wa mwenzako... Akuna kisicho wezekana chini ya jua.. Hao waloanzisha wameanzaje...
 
Back
Top Bottom