Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Nadhan ndo hiko kipindi cha 3600Unataka Aseme Kuwa Kawafukuza Ili Ikitokea Siku Anawahitaji Warudi Zoezi Hilo Kwake Liwe Gumu? Ruge Alichokifanya Ni Diplomasia Tu Ila Kama Ulimwangalia Leo Utaona Kabisa Body Language Na Maneno Yake Yalikuwa Yanaashiria Kuwa Akina Hando Na PJ Hawana Tena Chao Hapo Na Kwa Za Chini Chini Ni Kwamba Hata Kama Mikataba Yao Inamalizika Rasmi Leo Lakini Inakuwaje Aliweke Hili Suala Wazi Kiasi Hiki? Mbona Hatuambii Ukomo Wa MKATABA Wa Zamaradi Mketema Na Wengineo Hapo Clouds Media Group Unafikia Lini? Ukweli Ni Kwamba Hawa Jamaa Hando Na PJ Walishaingia Makubaliano Siku Nyingi Sana Na E FM Huku Wakifanya SIRI Na Ni Umbea Wao Ndiyo Uliwaponza Kwani Kuna Mmoja Wao Alikuwa Na Demu Wake Wa Hapo Clouds Akaropoka Na Huyo Demu Nae Akaanza Kueneza Na Zikamfikia PILATO Ruge Mutahaba Ambaye Nae Pia Ni Mtoto Wa Mjini Vile Vile Na Akaamua KUWACHINJIA Baharini Kama Alivyofanya Huku Akiwa Tayari Alishawaandaa Vijana Kama Watatu ( 3 ) Ambao Inasemekana Kesho au Jumatatu Ijayo Wanaanza Kupiga Mzigo.