Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Nadhan ndo hiko kipindi cha 3600
 
Dah power breakfast kwisha habari yake pj na hando ndio kila kitu pale.
 
Kwa msioijua PB ya kipanya na Fina, ndio ulikuwa mwisho wangu wa kipindi cha PB

BADO SIJAPATA MTANGAZAJI KAMA fINA NA mASOUD kIPANYA

HANDO ALIKUWA mamluki tu...kuna wengine wengi wa kufukuzwa clouds, na wamezea mate, wanaiona clouds kama baba yao na mama yao, mmoja wao ni mshamba mmoja alikuwaga mwigizaji
 
Baada yake kuna nani alikuja na bado kile kipindi kipo?aliondoka na ubunifu wake!
Africa bambata ilifutwa mda africa bambata ndo kuna amplifier inayosimamiwa na mtu wa nguvu millard ayo, sophia kessy aliokuwa anatagaza africa bambata yupo clouds tv, dj to short cjui yupo wapi na dj bulla alikuwepo clouds cjajua km hadi sasa ivi yupo
 
Reactions: Lee
Naona hii habari ni kweli. Nawasikia KP na Fina kwenye Power Breakfast.
 
Naona mkubwa kala matapishi yake kulaleki keshokutwa missanya bingi ndani ya PB
 
Sipendi Tabia ya Clouds FM kutafuta kiki kindezi,hizi Habari za clouds kufukuza watangazaji wake si mara ya kwanza kusikika ilishawahi vumisha mchomvu,b12 wapigwa chini ila mwishowe ikawa chai.
 
Nadhani ni fool day si kwamba wamerudi
 
Leo tumeweza kupata ladha ya zamani tuliyoikosa kwa muda mrefu. Fina Mango the best presenter ever!
 
Ni April fools. Binafsi nadhani JF haikupaswa kuwa na mzaha wa hiyo siku. Italeta contradictions humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…