Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Ni vyema kuweka akiba ya maneno hapa Tarehe Moja usijekosa pakujificha
nijifiche kwasababu ya nini mimi clouds wafukuze wala waisfukuze siwezi kupata madhara yoyote......


kisha pia sio lazima kukubali unachekisema kwavile umesema
'halafu pia hao uliowataja wapo kimkataba hata wakiondoka wataenda sehemu nyingine clouds sio kwa baba yao kwahiyo tuliza mihemko hao wana ujuzi zao na watapata kazi nyingine so is not a big deal..........
 
Mbona kama mihemko imekupanda, umelala njaa?
 
Kama binadamu.. Wanaweza kukosea... Lkn kuwatoa Hando na PJ ....mmmmmh!!!! Watakua hawajui watendalo. Hivi Yale magazet yatasomeka kweli!?! Fredwaa na mizaa atasikilizwa na nani?! Mfano uchambuzi wa leo ..
Kumbe sijaona mimi tu?
 
Mbona kama mihemko imekupanda, umelala njaa?
hahahaha si wa kulala njaa mie....


boss unaongea as if ni jambo la kufa, mtu akiacha kazi sehemu moja kwenda kwingine ... kawaida sana hiyo ni biashara tu kufanya mabadiliko kawaida tuliza munkari
 
hahahaha si wa kulala njaa mie....


boss unaongea as if ni jambo la kufa, mtu akiacha kazi sehemu moja kwenda kwingine ... kawaida sana hiyo ni biashara tu kufanya mabadiliko kawaida tuliza munkari
Sasa kwanini unapaniki maana unaona kama haiwezekani vile kama wametimuliwa watimuliwe tu
 
Sio yeye, ni watu wawili tofauti.. Huyu fredwaa alikuwa radio free africa.. Tena kule rfa alipapatia sana. Ila huku clouds hakuna kitu
Naona kama Fredwaa amepotea njia kabisa, hata haieleweki anafanya nini Clouds, amekuwa sio yule wa Radio Free. Amepwaya sana, na inaonekana anashidwa kurandana na mawazo ya wenzie au yuko tofauti na falsafa za Clouds, yupo yupo tuu!
 
Kwenye Jamii "nyumbu" hawakosekani
Seriously clouds Hamna kitu! Me niliacha kusikiliza officially 2010! Huwezi kuamini lakini ukweli Ndio huo! Tatizo wanajiona wajuaji sana! Clouds tv Ndio sijawahi Kabisa kuangalia! Hata sijui logo Yao inafafanaje labda Kama ndo Ile ya kwenye microphone zao hua naiona kupitia kituo kingine wanapofanya mahojiano Na mtu waandishi wengi wakiwepo including hao clouds!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…