Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Kwa sisi tuliowah kupitia mafunzo ya Human Resource managament ni kosa kumbwa kumfanya mtu fulan awe juu ya taasisi anayoifanyia kazi, taasisi sio mtu mmoja au wawili . Mimi siipend clouds media kabisa ila nadhan uamuz wa Ruge ulikuwa hauepukiki.

Duc in Altum
Ruge aliamua nini?
 
Mm ninachojua na ambacho ruge ameongea ni kuwa mikataba inaisha lei

Unataka Aseme Kuwa Kawafukuza Ili Ikitokea Siku Anawahitaji Warudi Zoezi Hilo Kwake Liwe Gumu? Ruge Alichokifanya Ni Diplomasia Tu Ila Kama Ulimwangalia Leo Utaona Kabisa Body Language Na Maneno Yake Yalikuwa Yanaashiria Kuwa Akina Hando Na PJ Hawana Tena Chao Hapo Na Kwa Za Chini Chini Ni Kwamba Hata Kama Mikataba Yao Inamalizika Rasmi Leo Lakini Inakuwaje Aliweke Hili Suala Wazi Kiasi Hiki? Mbona Hatuambii Ukomo Wa MKATABA Wa Zamaradi Mketema Na Wengineo Hapo Clouds Media Group Unafikia Lini? Ukweli Ni Kwamba Hawa Jamaa Hando Na PJ Walishaingia Makubaliano Siku Nyingi Sana Na E FM Huku Wakifanya SIRI Na Ni Umbea Wao Ndiyo Uliwaponza Kwani Kuna Mmoja Wao Alikuwa Na Demu Wake Wa Hapo Clouds Akaropoka Na Huyo Demu Nae Akaanza Kueneza Na Zikamfikia PILATO Ruge Mutahaba Ambaye Nae Pia Ni Mtoto Wa Mjini Vile Vile Na Akaamua KUWACHINJIA Baharini Kama Alivyofanya Huku Akiwa Tayari Alishawaandaa Vijana Kama Watatu ( 3 ) Ambao Inasemekana Kesho au Jumatatu Ijayo Wanaanza Kupiga Mzigo.
 
Clouds ya ujana wangu nilikuwa napenda mid-morning jam na BUGGY MASTER, then kile kipindi cha mchana nishakisahau alikuwa anapiga BONE LOVE na MC ML Chris a.k.a. black au makanga na jioni OJ na wenzake kwenye Afica Bambataa

Siku hizi nishaanza kuzeeka nikisikiliza wale kina nani sijui kwenye XXL hata sielewi wanaongea nini, lugha za vijana ni taabu tupu
 
Back
Top Bottom