Clouds FM mnaboa

Clouds FM mnaboa

Niliacha kusikiliza Clouds FM mwaka 2016 kwa sababu ya unaa kama huo
 
Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time.

Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita, unalisikia tena baada sekunde chache, as if wasikilizaji ni viziwi na wasahaulifu kila baada ya sekunde

Hamnaga standard ya interval ya tangazo moja na lingine? Kuweni advanced, acheni u'local. MNABOA mpaka mnatulazimisha tuhame stesheni wakati tunawapenda.

Badilikeni
Hao ndio wanaowalipa mishahara wafanyakazi na kuiendesha Clouds.Pili redio zipo nyingi ukiona wana kuboa badilisha chanel.
 
Back
Top Bottom