Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ss hv ndio mnakumbuka kupiga nyimbo zake akiwa kafa! Mbona hamkupiga akiwa hai?! Hakuna redio ya kinafiki tz! Kama clouds!
makavu live umenena mkubwaSio Clouds tu wewe mara ya mwisho ku-request nyimbo ya Mez B ilikuwa mwaka gani?
Ni jambo la kumbukumbu tu mkuu
Kuna sehemu nilisoma nyimbo yake inavyozidi kupigwa ndio anavyozidi kupigwa mijeledi uko alipo
Usituletee mivitu uliyosoma ya kishetani, hapa sio mahala pake.
Usituletee mivitu uliyosoma ya kishetani, hapa sio mahala pake.
Sio Clouds tu wewe mara ya mwisho ku-request nyimbo ya Mez B ilikuwa mwaka gani?
Sawa we endelea na mambo ya kidunia,siku wateule tukinyakuliwa utajiju