Clouds FM Mnampa promo the late Mez B akiwa ameshakufa! Acheni unafiki

Clouds FM Mnampa promo the late Mez B akiwa ameshakufa! Acheni unafiki

Watu wanapenda kuongea na clouds wasipopiga utalalamika sa tufanyaje ili uridhike na mi naona wapo Sawa kupiga nyimbo maana mez b alikuwa ni msaniii mkubwa Tanzania hii hvyo media zote lazima zipige nyimbo zake tumkumbuke mwanaharakati aliyetangulia RIP
 
Ebu twambie ni radio gani hupiga nyimbo zake? Kwanini uwalaumu Clouds? Nyimbo gani ya Mez b yenye sifa ya kupigwa sasa hivi? Kwa hiyo ulitaka wasipige kumkumbuka? Wasinge piga napo unge anzisha thread.
 
Kuna sehemu nilisoma nyimbo yake inavyozidi kupigwa ndio anavyozidi kupigwa mijeledi uko alipo
 
Yale yale ya Diamond na Dully Sykes! Si we uliwataka Clouds watoe promo ya kitu gani? Kuna nyimbo gani mpya aliyotoa? yaani ulitaka waanze kui-promote Kikuku cha Mama Rhoda leo hii? BTW, kwenye simu yako una nyimbo ngapi za Mez B?!
 
Sio hao tu kamanda, huku kijijini kwetu kuna redio inajiita Kilimo fm, yaani leo nimekutana na mtangazaji wao nikamwambia Mez B amefariki akatumia nusu dakika kukumbuka Mez b ni nani........

Wameniudhi kweli, hebu na wao wakemee mkuu.
 
Kwani Mez B alikuwa ananyimbo gani mpya? Mmekariri kuwalaumu Cloudz kama babayenu
 
Back
Top Bottom