Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ringtone ya kazi gani wakati tayari simu inajitosheleza na ikiita nasikia,hao wengine ni wanafika kama hao unaowatetea,omba nyimbo hizo uone kama hata sms yako itasomwa?Ngoja nikuulize swali jingine rahisi tu kwenye simu yako una nyimbo ngapi za Mez B na mara ya mwisho pengine kuiweka ringtone ilikuwa lini?
afu nikuulize tena toka umezaliwa ni lini ulisikia msoma wosia anasema marehemu alikuwa mwizi au kwamba marehemu alikuwa jeuri