Clouds FM Mnampa promo the late Mez B akiwa ameshakufa! Acheni unafiki

Clouds FM Mnampa promo the late Mez B akiwa ameshakufa! Acheni unafiki

hakuna tatizo kwa kuwa hawajavunja sheria! Ndugu, jitahidi kuacha kuisikiliza hiyo radio, hautapoteza chochote! mbona mimi siisikilizi na maisha yanasonga tu?!
 
Duh, Mez B amegariki?
Alikiwa anaumwa nini?
R. I. P.
 
Duh, Mez B amefariki?
alikuwa anaumwa nini?
R. I. P.
 
Ngoja nikuulize swali jingine rahisi tu kwenye simu yako una nyimbo ngapi za Mez B na mara ya mwisho pengine kuiweka ringtone ilikuwa lini?

afu nikuulize tena toka umezaliwa ni lini ulisikia msoma wosia anasema marehemu alikuwa mwizi au kwamba marehemu alikuwa jeuri
ringtone ya kazi gani wakati tayari simu inajitosheleza na ikiita nasikia,hao wengine ni wanafika kama hao unaowatetea,omba nyimbo hizo uone kama hata sms yako itasomwa?
 
Back
Top Bottom