Sio Clouds tu wewe mara ya mwisho ku-request nyimbo ya Mez B ilikuwa mwaka gani?
Sio Clouds tu wewe mara ya mwisho ku-request nyimbo ya Mez B ilikuwa mwaka gani?
Ebu twambie ni radio gani hupiga nyimbo zake? Kwanini uwalaumu Clouds? Nyimbo gani ya Mez b yenye sifa ya kupigwa sasa hivi? Kwa hiyo ulitaka wasipige kumkumbuka? Wasinge piga napo unge anzisha thread.
E fm habari ya mjini!nyimbo zote za unaejua amewahi kuwa msanii tz zinapigwa!!!
Dhambi ya kukimbia nchi mnayotoka na kutudhalilisha kwa kubeba mabox nchi za watu inawatafuna
Dhambi ya kukimbia nchi mnayotoka na kutudhalilisha kwa kubeba mabox nchi za watu inawatafuna
Watu wanaomba sana hawapigi hata ujumbe wako hausomwi omba wimbo wa sugu hata jide hata msj haisomwi test uone hawa wanafiki wakubwa ilA siku wakifa mungu aepushie mbali watapewa promo matata sana
Sio Clouds tu wewe mara ya mwisho ku-request nyimbo ya Mez B ilikuwa mwaka gani?
Kuna sehemu nilisoma nyimbo yake inavyozidi kupigwa ndio anavyozidi kupigwa mijeledi uko alipo
Mbeba boksi anapata $ 500 kwa week 500*1850=925000 tena hapo Kama Ana Kazi moja,akiwa na mbili anapata hadi 700 kwa week kwa mwezi
1850*2800=5,180,000 na awa ni wale Kama vibarua wane a boksi na kusafisha.
Niambie Tz mshahara nani anaupata ?
Bado wake walioenda shile wanaopata zaidi ya million 10 kwa mwezi
Kalaghabao,usidharau Kazi ya mtu wakat Ana make money kukuzidi
Kwanini umenitaja kwenye mabishano yenu. Halafu hiyo laki tisa anayopata inaishia kwenye rent! Mwisho wa siku anaishia kula mikate na maziwa. Mwaka mZima hugusi tunda ndizi moj dola tatu wakati bongo unapata mkungu mzima. Watu wamechoka huko mpaka wanaona aibu kurudi bongo.mwisho wa siku mnaamua kuwa mashoga.
Sasa hivi ndio mnakumbuka kupiga nyimbo zake akiwa kafa! Mbona hamkupiga akiwa hai?! Hakuna redio ya kinafiki Tanzania Kama clouds!
Rent inategemea unakaa wap kuna apartment ambazo ni cheap na Hiyo lak 9 ni kwa week,bado una wik 3 zaidi kukamilisha mwezi.
Hao waliokwambia hivyo wanakudanganya na wameshindwa mAisha ,mAisha ni ya kawaida sana ukikaa mwaka mmoja Kama utakuwa ujaanza ujenzi kwenu basi utakuwa si mzima
Unadhani nimeambiwa na mtu?..ngoja nikuache uendelee kudanganya wajinga hapa