Clouds FM Mnampa promo the late Mez B akiwa ameshakufa! Acheni unafiki

ndo mana wanasema kuna watu ni wachawi hawajui kusapoti kitu wao ni kunanga tu,washa redio unayoipeda hii ya kinafki tuachie wanafki mfyuuu
 
Sio Clouds tu wewe mara ya mwisho ku-request nyimbo ya Mez B ilikuwa mwaka gani?

Watu wanaomba sana hawapigi hata ujumbe wako hausomwi omba wimbo wa sugu hata jide hata msj haisomwi test uone hawa wanafiki wakubwa ilA siku wakifa mungu aepushie mbali watapewa promo matata sana
 
Ebu twambie ni radio gani hupiga nyimbo zake? Kwanini uwalaumu Clouds? Nyimbo gani ya Mez b yenye sifa ya kupigwa sasa hivi? Kwa hiyo ulitaka wasipige kumkumbuka? Wasinge piga napo unge anzisha thread.

E fm habari ya mjini!nyimbo zote za unaejua amewahi kuwa msanii tz zinapigwa!!!
 
Dhambi ya kukimbia nchi mnayotoka na kutudhalilisha kwa kubeba mabox nchi za watu inawatafuna

Mbeba boksi anapata $ 500 kwa week 500*1850=925000 tena hapo Kama Ana Kazi moja,akiwa na mbili anapata hadi 700 kwa week kwa mwezi

1850*2800=5,180,000 na awa ni wale Kama vibarua wane a boksi na kusafisha.

Niambie Tz mshahara nani anaupata ?

Bado wake walioenda shile wanaopata zaidi ya million 10 kwa mwezi

Kalaghabao,usidharau Kazi ya mtu wakat Ana make money kukuzidi
 
Hata ww na mm tukifa itakuwa hivyohivyo.sifa kibaoo
 
Dhambi ya kukimbia nchi mnayotoka na kutudhalilisha kwa kubeba mabox nchi za watu inawatafuna

Box la mbele linalipa sana mkuu...

Bongo ukiwa unapiga ishu za boksi lazima laifu iwe msoto mbaya...
 
Watu wanaomba sana hawapigi hata ujumbe wako hausomwi omba wimbo wa sugu hata jide hata msj haisomwi test uone hawa wanafiki wakubwa ilA siku wakifa mungu aepushie mbali watapewa promo matata sana

Ngoja nikuulize swali jingine rahisi tu kwenye simu yako una nyimbo ngapi za Mez B na mara ya mwisho pengine kuiweka ringtone ilikuwa lini?

afu nikuulize tena toka umezaliwa ni lini ulisikia msoma wosia anasema marehemu alikuwa mwizi au kwamba marehemu alikuwa jeuri
 
Mbeba boksi anapata $ 500 kwa week 500*1850=925000 tena hapo Kama Ana Kazi moja,akiwa na mbili anapata hadi 700 kwa week kwa mwezi

1850*2800=5,180,000 na awa ni wale Kama vibarua wane a boksi na kusafisha.

Niambie Tz mshahara nani anaupata ?

Bado wake walioenda shile wanaopata zaidi ya million 10 kwa mwezi

Kalaghabao,usidharau Kazi ya mtu wakat Ana make money kukuzidi

Kwanini umenitaja kwenye mabishano yenu. Halafu hiyo laki tisa anayopata inaishia kwenye rent! Mwisho wa siku anaishia kula mikate na maziwa. Mwaka mZima hugusi tunda ndizi moj dola tatu wakati bongo unapata mkungu mzima. Watu wamechoka huko mpaka wanaona aibu kurudi bongo.mwisho wa siku mnaamua kuwa mashoga.
 
Rent inategemea unakaa wap kuna apartment ambazo ni cheap na Hiyo lak 9 ni kwa week,bado una wik 3 zaidi kukamilisha mwezi.

Hao waliokwambia hivyo wanakudanganya na wameshindwa mAisha ,mAisha ni ya kawaida sana ukikaa mwaka mmoja Kama utakuwa ujaanza ujenzi kwenu basi utakuwa si mzima
 
Sasa hivi ndio mnakumbuka kupiga nyimbo zake akiwa kafa! Mbona hamkupiga akiwa hai?! Hakuna redio ya kinafiki Tanzania Kama clouds!

Tumia akili ulitaka wapige nyimbo gani kama vp na kikuku alitoa zaid ya miaka kumi iliyopita unataka waendelee kuzipiga tuu kwa uzuri upi hasa? Hebu taja nyimbo ya huyo jamaa inayopigwa na vituo vingine na clouds wanaipotezea! Kifupi jamaa alishachoka kimuziki hata hayo anayofanyiwa na clouds sasa ni uungwana wa hali ya juu
 
Rent inategemea unakaa wap kuna apartment ambazo ni cheap na Hiyo lak 9 ni kwa week,bado una wik 3 zaidi kukamilisha mwezi.

Hao waliokwambia hivyo wanakudanganya na wameshindwa mAisha ,mAisha ni ya kawaida sana ukikaa mwaka mmoja Kama utakuwa ujaanza ujenzi kwenu basi utakuwa si mzima

Unadhani nimeambiwa na mtu?..ngoja nikuache uendelee kudanganya wajinga hapa
 
Wewe ndio unadanganya wajinga,marekani si kila sehemu ni expensive kuna state ambazo ni cheap sana kuliko tz kuanzia nyumba za kupanga na Kazi zipo nyingi,kuna na state ambazo ni expensive ni chaguo Lako
 
Back
Top Bottom