Clouds FM Mnampa promo the late Mez B akiwa ameshakufa! Acheni unafiki

Jamaa nae alitulia sana,gemu ilimpoteza kabisa.
 
hakuna tatizo kwa kuwa hawajavunja sheria! Ndugu, jitahidi kuacha kuisikiliza hiyo radio, hautapoteza chochote! mbona mimi siisikilizi na maisha yanasonga tu?!
 
Duh, Mez B amegariki?
Alikiwa anaumwa nini?
R. I. P.
 
Duh, Mez B amefariki?
alikuwa anaumwa nini?
R. I. P.
 
ringtone ya kazi gani wakati tayari simu inajitosheleza na ikiita nasikia,hao wengine ni wanafika kama hao unaowatetea,omba nyimbo hizo uone kama hata sms yako itasomwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…