CLOUDS FM, Ushauri huu msiuache!

CLOUDS FM, Ushauri huu msiuache!

Bado kuna watu wanasikiliza radio? Na kujua ratiba za vipindi kabisa sio ,,,, ! Dah !

TV yenyewe naangalia mpira tu basi hakuna kingine !!!!
 
Mangi acha ushamba, unataka watu waende mlimani city na madera?
Tofautisha ibada kanisani na tamasha la muziki wa gospel.
Israel Mbonyi amesema amekuja kwaajili ya wanaomjua Mungu, la hasha, kwa wasio mjua waokoke !
Unajua Waislamu ndio wengi watako hudhuria?
Unajua kuna wasabato?
Unajua kunawanaume walio okoka wanawatoa girl frinds zao out kwenye tamasha?
Unajua kuna wasio na dini wengi tu wataenda kutazama na kumsifu Yesu?

Wewe unakuwa kama FARISAYO NA SADUKAYO, kwamba ni mtu wa mwilini na torati na kwako nguo ndio zinapeleka mtu mbinguni! badilika
1 Wakorintho 6:19
Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe.

Nadhani alijaribu kuandaa ibada ya hizo nyimbo za kumtukuza mungu kwa ukuu wa Mungu. Nasio kujiandaa kiroho tu..TUE NA HESHIMA KWENYE MAVAZI KWENYE JAMBO LINALO MHUSISHA MUNGU.
 
Suddy brown mjinga Sana. Anaaanza kuongelea mambo ya kupiga puri. Ndio maana Makonda alimpiga.
 
Narudia Tena, Suddy Brown ni mjinga. Eti kwa hivyo unajichukulia sheria mkononi? Jamaa jinga Sana. Makonda alitakiwa kulishughulikia ipasavyo ili liwe na heshima. Very stupid
 
Back
Top Bottom