Mangi acha ushamba, unataka watu waende mlimani city na madera?
Tofautisha ibada kanisani na tamasha la muziki wa gospel.
Israel Mbonyi amesema amekuja kwaajili ya wanaomjua Mungu, la hasha, kwa wasio mjua waokoke !
Unajua Waislamu ndio wengi watako hudhuria?
Unajua kuna wasabato?
Unajua kunawanaume walio okoka wanawatoa girl frinds zao out kwenye tamasha?
Unajua kuna wasio na dini wengi tu wataenda kutazama na kumsifu Yesu?
Wewe unakuwa kama FARISAYO NA SADUKAYO, kwamba ni mtu wa mwilini na torati na kwako nguo ndio zinapeleka mtu mbinguni! badilika