Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #21
Wanashindwaje kumpa hata kaka yetu Mayala awaandalie maswali ya dodoso?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanashindwaje kumpa hata kaka yetu Mayala awaandalie maswali ya dodoso?
Ndugu wananchi,
Fuatilieni na kutazama Television ya Taifa TBC, hamtojuta, hamtokwazika wala kulalamika kamwe
Macho ya rohoni,Mangi acha ushamba, unataka watu waende mlimani city na madera.
Unajua Waislamu ndio wengi watako hudhuria?
Unajua kuna wasabato?
Unajua kunawanaume walio okoka wanawatoa girl frinds zao out kwenye tamasha?
Unajua kuna wasio na dini wengi tu wataenda kutazama na kumsifu Yesu?
Wewe unakuwa kama FARISAYO NA SADUKAYO, kwamba ni mtu wa mwilini na torati na kwako nguo ndio zinapeleka mtu mbinguni! badilika
Sisi ambao hatuja-okoka , tunatumia macho ya mwilini, tunapoenda na mini-skirts zetu na track suits, mnawasemaga walokole wanava kishamba, wakivaa vizuri hamtaki, sasa semeni moja atujue!Macho ya rohoni,
Inategemea na madhabhu,ukiwa na mtazamo huo hutaenda kanisani utaona ni illuminat watupu kuanzia askofu hadi waumini
mayala ana media yake, ila poa tu clouds huhitaji sana watangazaji wenye media zaoWanashindwaje kumpa hata kaka yetu Mayala awaandalie maswali ya dodoso?
Muonekano si mavazi tu Bw. JajiSisi ambao hatuja okoka , tunatumia mach ya mwilini, tyunaenda na mini skirts zetu na track suits, mnawasemaga walokole wanava kishamba, wakivaa vizuri hamtaki, sasa semeni moja atujue!
Muimbaji wa injili ni binadamu mwisho wa siku naye anashiriki ngono kama kawaida tunao mfano wa rose mhando na chr shusho!Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.
Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.
Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.
Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.
Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.
Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Pia wenye weledi na staha kama Pascal Mayalla ni ngumu sana kupewa pale hata part time japo , huyu dogo tumpiganie aingie pale , kwa vipindi vyenye kuhitaji weledi na ufahamu mkubwa.mayala ana media yake, ila poa tu clouds huhitaji sana watangazaji wenye media zao
NYIE watu wa kiroho mnatuhukumu hadi tembea yetu.Muonekano si mavazi tu Bw. Jaji
Ulitegemea wapate watoto wa uwezo wa Roho mtakatifu kama Mariam mama wa Yesu , japo hata Mariam baada ya kumzaa Yesu naye aliendelea kuzaa watoto wengine na mumewe YUSUFU?Muimbaji wa injili ni binadamu mwisho wa siku naye anashiriki ngono kama kawaida tunao mfano wa rose mhando na chr shusho!
Wacha waulizwe maswali si dhambi!Ulitegemea wapate watoto wa uwezo wa Roho mtakatifu kama Mariam mama wa Yesu , japo hata Mariam baada ya kumzaa Yesu naye aliendelea kuzaa watoto wengine na mumewe YUSUFU?
Wanashiriki ngono baada ya kuolewa na kuoa of which is not sin, wewe ulitaka wasizae, ?Biblia inakata za kuwazuia watu kuzaana, wao si mapadri wala masista wa Kirumi.
Hawa waimbaji wa gospel ndio wale wanaopiga mauno na sebene?
Ukiwa na maana kwamba?Ndio, ndio!2 Samueli 6:12-22
Mfalme Daudi aliporudi nyumbani kwake ili kuibariki jamaa yake, Mikali, binti Shauli, alikwenda kumlaki, akasema, “Ajabu ya mfalme wa Israeli kujiheshimu leo, kwa kujifunua uchi wake mbele ya watumishi wake wa kiume na wa kike kama mshenzi avuavyo mavazi yake mbele ya watu bila aibu!” Daudi akamwambia Mikali, “Nilikuwa mbele ya Mwenyezi-Mungu ambaye alinichagua mimi badala ya baba yako, na jamaa yake, ili kuniteua kuwa mkuu juu ya Israeli, watu wake Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo mimi nitacheza tu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Nitajishusha mwenyewe zaidi kuliko sasa. Wewe utaniona kuwa si kitu, lakini hao watumishi wa kike uliowasema wataniheshimu.
Hili kiukweli haikuwa sawa...Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.
Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.
Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.
Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.
Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.
Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Anashindwa kutofautisha msaani wa bongofleva na injili. Tatizo kuokoteza matozi kuwa watangazaji badala ya watu waliosomea
wanashiriki ngono na waume zao wa ndoa takatifuMuimbaji wa injili ni binadamu mwisho wa siku naye anashiriki ngono kama kawaida tunao mfano wa rose mhando na chr shusho!
Tatizo kuokoteza matozi kuwa watangazaji