Ok! sijui bwana mi sina nia ya kuwakatisha tamaa kina sugu,simpendi ruge kwanza sio mtu wa mjini mshamba tu sema ana bahati,wakifaniiwa kina sugu itakua poa sana,ila adili naona ni kama game ilimshimda yeye mwenyewe kama kikapu na soka vilivyomshinda awali,kuna kipindi nalisikia alikua video producer ama something kwa msaada wa kaka yake daudi lakini tena nasikia nako kashindwa,yule ni mdogo wangu namjua sawasawa mpaka dada zake kina Hawa n.k. ametoka familia ya wasomi,mi ningemshauri arudi shule,ameshapoteza muda mwingi sana kwa kumfuata profesa J aliempoteza,sasa tena yuko na sugu!!wenzake hao umri umeenda wanafanya maisha,yeye bado mdogo arudi shule,game limemkataa,miaka yote hiyo ya kuwa pembeni na ma super star kama j angekuwa wa kutoka angeshatoka,wametoka kina Chid benz bwana ...!Leo hii adili nani anamjua ukiacha watu wa mbeya na sisi kaka zake wachache hapa???ndio maana unaona hata humu si watu wengi wanamuongelea,hajulikani!
Adili mdogo wangu kama unanisoma hapa,nakushauri urudi shule,acha kina two proud waendeleze harakati,tayari wameshayaweza maisha,ninayo namba ya sizza kimiti nitamtafute akukalishe chini sijui kama bado unamsikiliza kaka yako yule kama zamani enzi zile pale uzunguni,maana na yeye pia alichangia kukuharibu kwa kupenda "unyamwezi" na kuvaa casual dress,siku hizi sizza kakua,ana busara nyingi sana,hataki upuuzi huo tena,atakua msaada mkubwa sana kwako mdogo wangu.
daa hata siongei maana huo ushauri huwezi kuupata hata kwa mama yako mzazi.adili ni mtu mwenye kipaji kuliko hata hao akina chid benzi.akae na kaka ake salu tee aampe ushauri maana salu tee na hashim dogo ndo watu ambao wamewainspire akina adili kurap.mungu mbariki adili..ur gifted kaka