Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakazi ndio nani?Baada ya tamasha la Castle Lite unlocks kutekwa na Cloudsfm huku kituo hicho kongwe cha burudani kikimteka msanii aliyekuwa Tamaduni music Wakazi vita kali imeibuka kati ya msanii huyo na rafiki yake Nikki Mbishi.
Wiki hii huko twitter kulikuwa hakutoshi, vijembe, masimango na majibizano yalitawala baina ya wasanii hao wawili yaani Wakazi na Nikki Mbishi. Nikki Mbishi amekuwa akimtuhumu Wakazi kuwa ndiye aliyekwenda kumzibia riziki kwa waandaaji wa tamasha la Hiphop la Castle Lite Unlock. Kwa mujibu wa Nikki Mbishi Wakazi aliwaambia waandaaji kuwa Nikki Mbishi anahitaji pesa kubwa mno hivyo msimchukue.
Kwa upande mwingine tofauti na awali hivi sasa tamasha hilo litalofanyika Jumamosi ya tarehe 20 July 2019 limehodhiwa na cloudsfm hasa Adam Mchomvu.
Washiriki wa tamasha hilo mpaka sasa ni Mr blue, Nikki wa pili, Joh makini, AY, Mwanafa na wengineo.
HALI ILIVYOKUWA HUKO TWITTER
Nikki Mbishi tar 14 July alitweet
"
Jul 14
" ukanda wao kwenye Hip Hop na umatabaka hawakuwahi kutaka kudeal na upande mwingine ila anatokea MDWANZI mmoja anajitia KANDA MAALUM halafu mwishoni anahama ukanda wake kwa ajili ya SHOBO...Madai yake kakamata FURSA. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
Wakazi akatweet kumjibu Nikki Mbishi
"Jul 15
The perpetual habit of playing the "blame game" and looking for a scapegoat in your own shortcomings, has never been known to improve your position nor increase your ability to perform better. Change starts with the "Man in the Mirror" and that's You. #workethicpic"
Nikki Mbishi akapost
"
Wakati unasema natafuta "SCAPE GOAT" Unapaswa ujue wewe ndio wa kwanza kutafuta huo upuuzi uliosema na wewe ndiye uliyeenda kusema kuwa UNJU anataka hela nyingi mtoeni kwenye LIST. Wasanii wote uliyowaletea udalali washaripoti kweye kamati ya MASELA. NANI?"
Jul 15
Ukitoa PRICELESS na KANDA MAALUM ambazo zote nimeshiriki,huyo jamaa yenu anaenda kuimba nini? Mnafiki wa KARNE. Hata aibu hana kazi tufanye wote baadae akawe mwanga mfunga fursa kisa hao waliompa mchongo anashinda nao. @Nashemceetupe kidogo wewe alikwambia nini huyu MMAREKANI?
Jul 15
Nikki anaendelea
@onetheincredibl kaomba kikao cha wasanii wa HIP HOP na marehemu Ruge,mbeleni ONE kawekwa kando mchongo akaushika DALALI wa wasanii na hata FIESTA alienda yeye hakuna cha One wala mpuuzi gani gani? Eti anatumwa kutuuliza SISI THE TRIO tunaperform kwa sh ngapi NikkiZohan
Jul 16
Eti BILINGUAL BEAST wakati kila siku unabite mistari ya wanyamwezi ambao mambugila wa kibongo hawajui ni ya nani [emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kuishi CHICAGO lakini suala la Bilingual rap usimuweze@onetheincredibl hata kidogo...KAJINOE Ulikubidi uwe GROUPIE kwetu ili Bongo ikuzingatie. #TM
Jul 16
Wasanii wote hatuna UPEO ila yeye ndiye ana UPEO anajua sana na ana CONNECTION na maboss ili awe MTU WA KATI. Eti oooh majina yenu yametajwa kwenye list ya wasanii FIESTA ila kunafigisu sana na jamaa mmoja ndiye aliyekata majina ya SISI THE TRIO(Jina kapuni)
MAJIBU YA WAKAZI
Webiro N Wassira
wakazi
Spending TODAY by complaining about YESTERDAY, won't help make TOMORROW better. And be careful what you say to somebody today, because you may not have tomorrow to take it back.
NIKKI MBISHI AWASHANGAA AY NA MWANAFA
Nikki Mbishi amesema haamini kama Mwanafa na AY wamekubali kuperform kwenye tamasha la Castle Lite unlocks kwa bei ambayo hata mimi kajamba nani nimeikataa.
SALAMA NA MWANAFA WAMJIBU NIKKI MBISHI
Salama Jabir akatweet "epuka sana mtu anayegombana karibu na kila mtu" tweet ambayo Wakazi, Mwanafa na AY waliiretweet.
View attachment 1156827View attachment 1156828
Niki Mbishi na Wakazi wameshirikiana nyimbo kadhaa mfano wimbo uitwao priceless na kanda maalumu.
Hata hivyo hivi karibuni Wakazi amekuwa karibu na kituo cha redio cha cloudsfm na akina Adam mchomvu, na Bdozen kitu ambacho wengi wanakitazama kama ndicho kilichochangia kuvunjika kwa urafiki huo wa Wakazi na Nikki Mbishi.
Wakazi kakamata fursa , urafiki wakati una njaa ni hatari sana mda wowote unaitwa msaliti
Baada ya tamasha la Castle Lite unlocks kutekwa na Cloudsfm huku kituo hicho kongwe cha burudani kikimteka msanii aliyekuwa Tamaduni music Wakazi vita kali imeibuka kati ya msanii huyo na rafiki yake Nikki Mbishi.

Sometimes shit happensNjaa tupu.
Real Gs don't beef on Twitter
They beef with chromes that glitter
Huyo AY ana wimbo gani mkali kwa sasa?ukitazama kwa makini utaona ni kweli kuna figisu sana kwenye huo mziki wao.Sijajua nini lengo la hilo tamasha ila sijajua wanatumia vigezo gani manake nikitizama list naona hawatishi sana,yaani hata Fid Q,Zaiid,Uno,Sterio,Lord eyez nao hawapo.
Kwenye hiyo list ninaye mkubali Gnako na Blue.Ay na Mwana FA wakali lkn zama zao zishaisha na uwezo ushapungua.
Mimi huyo Wakazi sijawahi mwelewa kabisa.
Haha namnukuu katika ngoma yake ya zamani
"Kiukweli sifichi MIST(ambayo sasa ni MUST) hakuna snitch kama KAYUKI"
Binafsi namkubali sana mbishi wa zamani kwa punchlines sio wa sasa! Kuhusu wakazi sijui hata anachoimba!
[emoji3]mi nimenukuu tu kutoka katika moja ya ngoma zake juu ya chuo alichosoma jamaaUtakuwa mjumbe tu wewe.
Kayuki snitch Kweli anakuondoa Chuo [emoji16]
Wakazi ni mnafiki wa kiwango cha standard gauge.Baada ya tamasha la Castle Lite unlocks kutekwa na Cloudsfm huku kituo hicho kongwe cha burudani kikimteka msanii aliyekuwa Tamaduni music Wakazi vita kali imeibuka kati ya msanii huyo na rafiki yake Nikki Mbishi.
Wiki hii huko twitter kulikuwa hakutoshi, vijembe, masimango na majibizano yalitawala baina ya wasanii hao wawili yaani Wakazi na Nikki Mbishi. Nikki Mbishi amekuwa akimtuhumu Wakazi kuwa ndiye aliyekwenda kumzibia riziki kwa waandaaji wa tamasha la Hiphop la Castle Lite Unlock. Kwa mujibu wa Nikki Mbishi Wakazi aliwaambia waandaaji kuwa Nikki Mbishi anahitaji pesa kubwa mno hivyo msimchukue.
Kwa upande mwingine tofauti na awali hivi sasa tamasha hilo litalofanyika Jumamosi ya tarehe 20 July 2019 limehodhiwa na cloudsfm hasa Adam Mchomvu.
Washiriki wa tamasha hilo mpaka sasa ni Mr blue, Nikki wa pili, Joh makini, AY, Mwanafa na wengineo.
HALI ILIVYOKUWA HUKO TWITTER
Nikki Mbishi tar 14 July alitweet
"
Jul 14
" ukanda wao kwenye Hip Hop na umatabaka hawakuwahi kutaka kudeal na upande mwingine ila anatokea MDWANZI mmoja anajitia KANDA MAALUM halafu mwishoni anahama ukanda wake kwa ajili ya SHOBO...Madai yake kakamata FURSA. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
Wakazi akatweet kumjibu Nikki Mbishi
"Jul 15
The perpetual habit of playing the "blame game" and looking for a scapegoat in your own shortcomings, has never been known to improve your position nor increase your ability to perform better. Change starts with the "Man in the Mirror" and that's You. #workethicpic"
Nikki Mbishi akapost
"
Wakati unasema natafuta "SCAPE GOAT" Unapaswa ujue wewe ndio wa kwanza kutafuta huo upuuzi uliosema na wewe ndiye uliyeenda kusema kuwa UNJU anataka hela nyingi mtoeni kwenye LIST. Wasanii wote uliyowaletea udalali washaripoti kweye kamati ya MASELA. NANI?"
Jul 15
Ukitoa PRICELESS na KANDA MAALUM ambazo zote nimeshiriki,huyo jamaa yenu anaenda kuimba nini? Mnafiki wa KARNE. Hata aibu hana kazi tufanye wote baadae akawe mwanga mfunga fursa kisa hao waliompa mchongo anashinda nao. @Nashemceetupe kidogo wewe alikwambia nini huyu MMAREKANI?
Jul 15
Nikki anaendelea
@onetheincredibl kaomba kikao cha wasanii wa HIP HOP na marehemu Ruge,mbeleni ONE kawekwa kando mchongo akaushika DALALI wa wasanii na hata FIESTA alienda yeye hakuna cha One wala mpuuzi gani gani? Eti anatumwa kutuuliza SISI THE TRIO tunaperform kwa sh ngapi NikkiZohan
Jul 16
Eti BILINGUAL BEAST wakati kila siku unabite mistari ya wanyamwezi ambao mambugila wa kibongo hawajui ni ya nani [emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kuishi CHICAGO lakini suala la Bilingual rap usimuweze@onetheincredibl hata kidogo...KAJINOE Ulikubidi uwe GROUPIE kwetu ili Bongo ikuzingatie. #TM
Jul 16
Wasanii wote hatuna UPEO ila yeye ndiye ana UPEO anajua sana na ana CONNECTION na maboss ili awe MTU WA KATI. Eti oooh majina yenu yametajwa kwenye list ya wasanii FIESTA ila kunafigisu sana na jamaa mmoja ndiye aliyekata majina ya SISI THE TRIO(Jina kapuni)
MAJIBU YA WAKAZI
Webiro N Wassira
wakazi
Spending TODAY by complaining about YESTERDAY, won't help make TOMORROW better. And be careful what you say to somebody today, because you may not have tomorrow to take it back.
NIKKI MBISHI AWASHANGAA AY NA MWANAFA
Nikki Mbishi amesema haamini kama Mwanafa na AY wamekubali kuperform kwenye tamasha la Castle Lite unlocks kwa bei ambayo hata mimi kajamba nani nimeikataa.
SALAMA NA MWANAFA WAMJIBU NIKKI MBISHI
Salama Jabir akatweet "epuka sana mtu anayegombana karibu na kila mtu" tweet ambayo Wakazi, Mwanafa na AY waliiretweet.
View attachment 1156827View attachment 1156828
Niki Mbishi na Wakazi wameshirikiana nyimbo kadhaa mfano wimbo uitwao priceless na kanda maalumu.
Hata hivyo hivi karibuni Wakazi amekuwa karibu na kituo cha redio cha cloudsfm na akina Adam mchomvu, na Bdozen kitu ambacho wengi wanakitazama kama ndicho kilichochangia kuvunjika kwa urafiki huo wa Wakazi na Nikki Mbishi.
Nick sio msela ila waleta deals ndio wasela na wakazi ni mdananda tu assume mm na wewe ni wasanii tunaitwa kwenye show alafu wewe unaniuliza mm nitaperfome Kwa sh.ngapi inakujaje mkuu?Nikki Mbishi aache kulaumu laumu..Apige kazi..
Usela mwingi..Usela mavi
[emoji23][emoji23][emoji23] welcome to ukonga.Huko kwenye show sijui huyu wakaazi anaimba nyimbo gani !!
Really nigger sio mpiga magoti Kwa mabeberu uyo hakopeshagi.Huyu Nikki mbishi hajisomi, akili yake anaielewa mwenyewe. Ujuaji mwingi kwenye kila kitu.
Yeye kila kitu ni anajua yeye, kuonewa yeye, anataka awe mtemi wakati mziki wenyewe anafanya magumashi tuu!
Alitukanaga walimu wake Mbeya University na mpaka leo sidhani kama ana hicho cheti cha Diploma ya Computer Engineering!
Diploma tuu alisugua miguu sana kuimaliza kisa u much know! Sasa sijui kama huo mziki atauweza maana kila kazi lazima uheshimu wenzako!
Nikki hana heshima kwa wenzake, ana vimatusi vya rejareja tuu!
Wazee wamefua cheki wananavyomwaga povu.Wameenda kupiga magoti kwa Dozen na Mchomvu"Priceless"
Nick sio msela ila waleta deals ndio wasela na wakazi ni mdananda tu assume mm na wewe ni wasanii tunaitwa kwenye show alafu wewe unaniuliza mm nitaperfome Kwa sh.ngapi inakujaje mkuu?