Clouds FM wafanikiwa kuusambaratisha urafiki wa Nikki Mbishi na Wakazi

Sijajua nini lengo la hilo tamasha ila sijajua wanatumia vigezo gani manake nikitizama list naona hawatishi sana,yaani hata Fid Q,Zaiid,Uno,Sterio,Lord eyez nao hawapo.
Kwenye hiyo list ninaye mkubali Gnako na Blue.Ay na Mwana FA wakali lkn zama zao zishaisha na uwezo ushapungua.
Mimi huyo Wakazi sijawahi mwelewa kabisa.

Lengo ni burudani. Ukiona hao wasanii huwakubali basi usiende kwenye tamasha au andaa la kwako au subiri jingine.
Wao walioandaa wameona hao ndio wanafaa kulingana na mipango yao.
 
Naona umepanic.

Kwani ww ni mwandaaji?

Yaani nisitoe mtizamo wangu kisa sina huwezo wa kuandaa?

Kwa hiyo mtizamo wangu umekuumiza?

Huo Mtizamo ni wa kwangu na utaendelea kuwa hivyo,swala la kwenda kutokwenda ni uamuzi wangu na mfuko wangu,kama umekasirika kimpango wako.
 
Nick sio msela ila waleta deals ndio wasela na wakazi ni mdananda tu assume mm na wewe ni wasanii tunaitwa kwenye show alafu wewe unaniuliza mm nitaperfome Kwa sh.ngapi inakujaje mkuu?
Nimemsikia Wakazi akihojiwa..Kwa maelezo yake, sio yeye aliyemuuliza Nikki kuhusu payments.
 
Mleta uzi ndo nikki mwenyewe😊, Siku niki akiacha maneno ya kanga na kufanya kazi ataonekana nini anafanya( Tatizo jina lake la pili-mbishi, kwa sauti ya adam mchomvu)😂.
 
Nimemsikia Wakazi akihojiwa..Kwa maelezo yake, sio yeye aliyemuuliza Nikki kuhusu payments.
Yeah, ile interview kaeleza vizuri.

Shida ya wasikilizaji wameamua kumuelewa Nikki kwa propaganda zake baada ya kushindwa kubageini, alishindwa nini kutamka bei anayotaka kama alipigiwa simu? na kama bei yake hawawezi kumlipa kwa nini asiachane nao kimya kimya cha ajabu analeta kelele eti kanyimwa show wakati hadi simu alipigiwa!

Anachotakiwa kujua Nikki ni kwamba malipo ya wasanii lazima yanatofautiana kutoka msanii mmoja kwenda mwingine kutokana na thamani ya msanii katika jamii.

Mfano malipo ya Wiziki na Solomwamba hayawezi kua sawa japokua watapanda jukwaa moja na dhamira ya tamasha ikiwa moja ingawa Sholomwamba anaweza kufanyiwa feva alipwe kama Wizikid lakini Wizikid hawezi kulipwa kama Sholomwamba.
 
Hyo list ya hlo Tamasha imejaa wachaga tuu ukitoa Ay/Ay/Wakaz wengine wote chuga[emoji23]
16484_02.jpeg
 
Ni
Baada ya tamasha la Castle Lite unlocks kutekwa na Cloudsfm huku kituo hicho kongwe cha burudani kikimteka msanii aliyekuwa Tamaduni music Wakazi vita kali imeibuka kati ya msanii huyo na rafiki yake Nikki Mbishi.

Wiki hii huko twitter kulikuwa hakutoshi, vijembe, masimango na majibizano yalitawala baina ya wasanii hao wawili yaani Wakazi na Nikki Mbishi. Nikki Mbishi amekuwa akimtuhumu Wakazi kuwa ndiye aliyekwenda kumzibia riziki kwa waandaaji wa tamasha la Hiphop la Castle Lite Unlock. Kwa mujibu wa Nikki Mbishi Wakazi aliwaambia waandaaji kuwa Nikki Mbishi anahitaji pesa kubwa mno hivyo msimchukue.

Kwa upande mwingine tofauti na awali hivi sasa tamasha hilo litalofanyika Jumamosi ya tarehe 20 July 2019 limehodhiwa na cloudsfm hasa Adam Mchomvu.
Washiriki wa tamasha hilo mpaka sasa ni Mr blue, Nikki wa pili, Joh makini, AY, Mwanafa na wengineo.

HALI ILIVYOKUWA HUKO TWITTER

Nikki Mbishi tar 14 July alitweet

"
Jul 14

" ukanda wao kwenye Hip Hop na umatabaka hawakuwahi kutaka kudeal na upande mwingine ila anatokea MDWANZI mmoja anajitia KANDA MAALUM halafu mwishoni anahama ukanda wake kwa ajili ya SHOBO...Madai yake kakamata FURSA. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"

Wakazi akatweet kumjibu Nikki Mbishi

"Jul 15

The perpetual habit of playing the "blame game" and looking for a scapegoat in your own shortcomings, has never been known to improve your position nor increase your ability to perform better. Change starts with the "Man in the Mirror" and that's You. #workethicpic"

Nikki Mbishi akapost

"
Wakati unasema natafuta "SCAPE GOAT" Unapaswa ujue wewe ndio wa kwanza kutafuta huo upuuzi uliosema na wewe ndiye uliyeenda kusema kuwa UNJU anataka hela nyingi mtoeni kwenye LIST. Wasanii wote uliyowaletea udalali washaripoti kweye kamati ya MASELA. NANI?"

Jul 15

Ukitoa PRICELESS na KANDA MAALUM ambazo zote nimeshiriki,huyo jamaa yenu anaenda kuimba nini? Mnafiki wa KARNE. Hata aibu hana kazi tufanye wote baadae akawe mwanga mfunga fursa kisa hao waliompa mchongo anashinda nao. @Nashemceetupe kidogo wewe alikwambia nini huyu MMAREKANI?

Jul 15

Nikki anaendelea

@onetheincredibl kaomba kikao cha wasanii wa HIP HOP na marehemu Ruge,mbeleni ONE kawekwa kando mchongo akaushika DALALI wa wasanii na hata FIESTA alienda yeye hakuna cha One wala mpuuzi gani gani? Eti anatumwa kutuuliza SISI THE TRIO tunaperform kwa sh ngapi NikkiZohan

Jul 16

Eti BILINGUAL BEAST wakati kila siku unabite mistari ya wanyamwezi ambao mambugila wa kibongo hawajui ni ya nani [emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kuishi CHICAGO lakini suala la Bilingual rap usimuweze@onetheincredibl hata kidogo...KAJINOE Ulikubidi uwe GROUPIE kwetu ili Bongo ikuzingatie. #TM

Jul 16

Wasanii wote hatuna UPEO ila yeye ndiye ana UPEO anajua sana na ana CONNECTION na maboss ili awe MTU WA KATI. Eti oooh majina yenu yametajwa kwenye list ya wasanii FIESTA ila kunafigisu sana na jamaa mmoja ndiye aliyekata majina ya SISI THE TRIO(Jina kapuni)

MAJIBU YA WAKAZI

Webiro N Wassira

wakazi

Spending TODAY by complaining about YESTERDAY, won't help make TOMORROW better. And be careful what you say to somebody today, because you may not have tomorrow to take it back.

NIKKI MBISHI AWASHANGAA AY NA MWANAFA

Nikki Mbishi amesema haamini kama Mwanafa na AY wamekubali kuperform kwenye tamasha la Castle Lite unlocks kwa bei ambayo hata mimi kajamba nani nimeikataa.

SALAMA NA MWANAFA WAMJIBU NIKKI MBISHI

Salama Jabir akatweet "epuka sana mtu anayegombana karibu na kila mtu" tweet ambayo Wakazi, Mwanafa na AY waliiretweet.
View attachment 1156827View attachment 1156828

Niki Mbishi na Wakazi wameshirikiana nyimbo kadhaa mfano wimbo uitwao priceless na kanda maalumu.

Hata hivyo hivi karibuni Wakazi amekuwa karibu na kituo cha redio cha cloudsfm na akina Adam mchomvu, na Bdozen kitu ambacho wengi wanakitazama kama ndicho kilichochangia kuvunjika kwa urafiki huo wa Wakazi na Nikki Mbishi.
Nikki Mbishi ana mipasho kama.mtoto wa kike.

Ukiwa much know sana huwezi kufanikiwa.

Dogo anajifanyaga anajua kila kitu.
 
Clouds ndio wachonganish wangeenda na upande wa pili tusikie nae niki anasemaje kwanini ahojiwe msanii mmoja tu hapo ndio mjue kuna kitu mtu hawezi kulalamik bila sababu
 
Umeandika ugoro mreefu na unajidanganya mwenyewe maana ni wazi clouds hawahusiki video zipo you tube ukisikiliza maelezo ya Nikki na ya Wakazi wakihojiwa wasafi tv utagundua wamepishana kwasababu Nikki ni msela mavi asiyejua anataka nini kwenye mziki wake ndiyo maana amegombana/ametukanana na watu wengi kwenye tasnia ya mzuki.

Good enough juzi kati huyo nikki mbishi kaingia cha kike akamchokoza P. Mawenge akampa dozi ya nguvu kwa diss track 🤣🤣🤣
 
Nikki Mbishi aache kulaumu laumu..Apige kazi..

Usela mwingi..Usela mavi
Nikki mbishi anapenda kudeka-deka michongo yake ikibuma anatafuta mtu wa kumuamishia stress zake.
Namshauri nikki mbishi atafute kazi nyingine mziki hauwezi kumlipa kwa kuwa analeta usela mavi kwenye biashara.
 
Back
Top Bottom