Clouds FM wafanikiwa kuusambaratisha urafiki wa Nikki Mbishi na Wakazi

Nick nae analalama mno, mpaka sisi ambao hatujui mziki tunaona jamaa ana nongwa sana
 
Wakazi ndio nani?
 

Alicho tweet Nikki Mbishi kuhusu One incredible uwezo wake mkubwa kwa kuchana kimarekani
 
Huyo AY ana wimbo gani mkali kwa sasa?ukitazama kwa makini utaona ni kweli kuna figisu sana kwenye huo mziki wao.

Ina maana pamoja na Ruge kutokuwepo bado tu lawama zipo kwa Clouds!
 
Haha namnukuu katika ngoma yake ya zamani
"Kiukweli sifichi MIST(ambayo sasa ni MUST) hakuna snitch kama KAYUKI"
Binafsi namkubali sana mbishi wa zamani kwa punchlines sio wa sasa! Kuhusu wakazi sijui hata anachoimba!

Utakuwa mjumbe tu wewe.
Kayuki snitch Kweli anakuondoa Chuo [emoji16]
 
Niki ni fala flani ambae anataka kila mtu aishi in his “fantasy world”.he’s so full of himself and absolutely no respect for others.toka kwenye interviews Zake utajua ha appreciate yoyote,anaona kasoro ya kila mtu except yeye.kweli OGOPA SANA MTU ANAEGOMBANA NA KILA MTU!
 
Wakazi ni mnafiki wa kiwango cha standard gauge.
 
Nikki Mbishi aache kulaumu laumu..Apige kazi..

Usela mwingi..Usela mavi
Nick sio msela ila waleta deals ndio wasela na wakazi ni mdananda tu assume mm na wewe ni wasanii tunaitwa kwenye show alafu wewe unaniuliza mm nitaperfome Kwa sh.ngapi inakujaje mkuu?
 
Really nigger sio mpiga magoti Kwa mabeberu uyo hakopeshagi.
 
Nikki ni mpumbavu sana, ana tabia za kike. Yani basi vile tu anaimba HipHop nashindwa kufuta nyimbo zake.
Anajiona anajua sana, anakata awe kiongozi yeye, nahisi hata One anamvumilia, ila ipo siku atajivua gamba kama kina ZaiiDI na Wakazi, na ndio hapo Nikki atajiona si lolote si chochote.

Anawadiss kina Dozen halafu analialia asipoitwa kwenye show zao, awe mpole sio kutafuta visingizio(scapegoat/mbuzi kwa kafara) kwa kumlaumu Wakazi.
 
Nick sio msela ila waleta deals ndio wasela na wakazi ni mdananda tu assume mm na wewe ni wasanii tunaitwa kwenye show alafu wewe unaniuliza mm nitaperfome Kwa sh.ngapi inakujaje mkuu?

Toa uthibitisho kwamba Wakazi aliuliza hilo, kama sio porojo tu za Nikki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…