Clouds FM wafanikiwa kuusambaratisha urafiki wa Nikki Mbishi na Wakazi


Lengo ni burudani. Ukiona hao wasanii huwakubali basi usiende kwenye tamasha au andaa la kwako au subiri jingine.
Wao walioandaa wameona hao ndio wanafaa kulingana na mipango yao.
 
Lengo ni burudani. Ukiona hao wasanii huwakubali basi usiende kwenye tamasha au andaa la kwako au subiri jingine.
Wao walioandaa wameona hao ndio wanafaa kulingana na mipango yao.
Naona umepanic.

Kwani ww ni mwandaaji?

Yaani nisitoe mtizamo wangu kisa sina huwezo wa kuandaa?

Kwa hiyo mtizamo wangu umekuumiza?

Huo Mtizamo ni wa kwangu na utaendelea kuwa hivyo,swala la kwenda kutokwenda ni uamuzi wangu na mfuko wangu,kama umekasirika kimpango wako.
 
Nick sio msela ila waleta deals ndio wasela na wakazi ni mdananda tu assume mm na wewe ni wasanii tunaitwa kwenye show alafu wewe unaniuliza mm nitaperfome Kwa sh.ngapi inakujaje mkuu?
Nimemsikia Wakazi akihojiwa..Kwa maelezo yake, sio yeye aliyemuuliza Nikki kuhusu payments.
 
Mleta uzi ndo nikki mwenyewe😊, Siku niki akiacha maneno ya kanga na kufanya kazi ataonekana nini anafanya( Tatizo jina lake la pili-mbishi, kwa sauti ya adam mchomvu)😂.
 
Nimemsikia Wakazi akihojiwa..Kwa maelezo yake, sio yeye aliyemuuliza Nikki kuhusu payments.
Yeah, ile interview kaeleza vizuri.

Shida ya wasikilizaji wameamua kumuelewa Nikki kwa propaganda zake baada ya kushindwa kubageini, alishindwa nini kutamka bei anayotaka kama alipigiwa simu? na kama bei yake hawawezi kumlipa kwa nini asiachane nao kimya kimya cha ajabu analeta kelele eti kanyimwa show wakati hadi simu alipigiwa!

Anachotakiwa kujua Nikki ni kwamba malipo ya wasanii lazima yanatofautiana kutoka msanii mmoja kwenda mwingine kutokana na thamani ya msanii katika jamii.

Mfano malipo ya Wiziki na Solomwamba hayawezi kua sawa japokua watapanda jukwaa moja na dhamira ya tamasha ikiwa moja ingawa Sholomwamba anaweza kufanyiwa feva alipwe kama Wizikid lakini Wizikid hawezi kulipwa kama Sholomwamba.
 
Ni Nikki Mbishi ana mipasho kama.mtoto wa kike.

Ukiwa much know sana huwezi kufanikiwa.

Dogo anajifanyaga anajua kila kitu.
 
Ni Nikki Mbishi ana mipasho kama.mtoto wa kike.

Ukiwa much know sana huwezi kufanikiwa.

Dogo anajifanyaga anajua kila kitu.
 
Mambo yao waachieni wenyewe...


Mwisho wa siku it's all about business...


Cc: mahondaw
 
Clouds ndio wachonganish wangeenda na upande wa pili tusikie nae niki anasemaje kwanini ahojiwe msanii mmoja tu hapo ndio mjue kuna kitu mtu hawezi kulalamik bila sababu
 
Umeandika ugoro mreefu na unajidanganya mwenyewe maana ni wazi clouds hawahusiki video zipo you tube ukisikiliza maelezo ya Nikki na ya Wakazi wakihojiwa wasafi tv utagundua wamepishana kwasababu Nikki ni msela mavi asiyejua anataka nini kwenye mziki wake ndiyo maana amegombana/ametukanana na watu wengi kwenye tasnia ya mzuki.

Good enough juzi kati huyo nikki mbishi kaingia cha kike akamchokoza P. Mawenge akampa dozi ya nguvu kwa diss track 🤣🤣🤣
 
Nikki Mbishi aache kulaumu laumu..Apige kazi..

Usela mwingi..Usela mavi
Nikki mbishi anapenda kudeka-deka michongo yake ikibuma anatafuta mtu wa kumuamishia stress zake.
Namshauri nikki mbishi atafute kazi nyingine mziki hauwezi kumlipa kwa kuwa analeta usela mavi kwenye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…